Rafiki yangu bado ananiumiza sana

Status
Not open for further replies.
Acha kufuruga bana niko na maumivu ya kumpoteze rafiki mie!
pole uwo ndo ukubw dada

thats fate you have to believe on it

ila kama unakiri ni mtu muhimu kwako na unakiri pia kama wewe ndo umezingua just mfate na myazungumze mana ww ndo umezingua......amin mambo yatakuwa shkopa
 
Asante sana lakini Hatukuwa wapenzi
.nimeshamuomba sana msamaha mpaka naelekea ku surrender... Kuhusu kuonesha na kumwambia memmis nimemwambia weeeeeeee ndokwanza naona kama natwanga maji kwenye kinu.. Ivo vote still namkumbuka sana
 
Pole mwaya ila usichoke kumuomba msamaha nina imani atakusamehe kwani hakuna asiyekosea akaacha kusamehewa.
Inshallah nasubiria kusamehewa kama akiamua kunisamehe lakini. Sante
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…