Huyo mpenzi wako ulimtoa bikra au ulishakutwa kadinywa????.....ishi na mwanamke kwa akili na usipoangalia waweza kugombana na kila mtu mpaka wazaz wako!!!!
kuna wanawake wenye bikra lakini wana tabia mbaya kuliko wale wasiokuwa na bikira
Huyo mpenzi wako ulimtoa bikra au ulishakutwa kadinywa????.....ishi na mwanamke kwa akili na usipoangalia waweza kugombana na kila mtu mpaka wazaz wako!!!!
Hilo neno bold kweli kabisa nalichukia sana, ivi maana yake hasa nini? Mbona linanichefuaga mimi? Ivi hii imekaaje...Huyo mpenzi wako ulimtoa bikra au la/walitoa wenzio..(ilo neno miss strong ulotumia uuhhh,)
Hilo neno bold kweli kabisa nalichukia sana, ivi maana yake hasa nini? Mbona linanichefuaga mimi? Ivi hii imekaaje...Huyo mpenzi wako ulimtoa bikra au la/walitoa wenzio..(ilo neno miss strong ulotumia uuhhh,)
kuna wanawake wenye bikra lakini wana tabia mbaya kuliko wale wasiokuwa na bikira
Teh teh teh.......kwanini linakuchefua???au ulidinyiwagwa demi wako??!!!
Mi mwanamke sio mwanaume
Tena kama ni wa kule nako toka aangalie vizuri la sivyo na yeye kapuni biashara bidada anamiliki....
may be he will take for granted... but serious mapenzi na kazi si sawa.... the guy he need to focus, imagine aache kufanya biashara na jamaa aje kugundua demu alikuwa anamchuza atajuta maisha yake yote...
habari wana jamvi,nina mpenzi ambaye tu wapenzi kwa muda sasa na tunatarajia kuoana soon,sasa nina rafiki yangu wa karibu tu ambaye pia tumeanzisha biashara pamoja .sasa huyu rafiki yangu anamtongoza mpenzi wangu sikuweza kugundua hicho kitu mpaka mpenzi wangu aliponiambia sababu alianza mtongoza na huyu mpenzi wangu akamkatalia na kumtishia akiendelea ataniambia mimi,lakini rafiki yangu hakuelewa na mpenzi wangu akanambia na kuna siku alipiga simu mpenzi wangu akamuweka loudspeaker nikawa namsikia akimuambia mpenzi wangu mambo mengi ya uongo kuhusu mimi ikiwepo kuwa nina mahusiano na wapenzi wengine wengi na ni kitu sio cha kweli.kwa kweli hasira kali zimenikamata na sijui nifanye ninikwa haraka nimefikiri kufuta ukaribu naye kabisa na nimuite nimuambie na kuanzia hapo urafiki ufike mwisho na pia kuacha kufanya nae hiyo biashara tumeanzisha pamoja maana napata wasiwasi kama mtu anathubutu kutaka kukusaliti kwa kuwa na mahusiano na mpenzi wako basi hata anaweza kukusaliti au kukuuua kwenye biashara au pesa.....naombeni tu ushauri wenu maana pia naona naweza fanya kitu kibaya kwake bure.
Acheni kujifanya mnajua sana kuongea. Mtu kishawaambia kuwa amethibitisha hata kwa kusikia sauti ya huyo jamaa bibie aliweka loud speaker. Sasa hapo huyo dada analaumiwa kwa lipi? Mlitaka asimwambie mumewe ili azidi kusumbiliwa? Kama hamna ushauri wa maana mkae kimya. Nachukia wanawake wanaodhani kuwa hakuna mwanamke anayeweza kuwa mwaminifu kwenye ndoa yake.

inabidi JF iwe na sehemu ya JINSIA vinginevyo huku kuna siku litazuka balaaMi mwanamke sio mwanaume
wewe acha kupaniki si mke huyo ni girlfriend kasema .... chukia basi upasuke lia basi nikuone....
punguza munkari mama
Huyu ni mpenzi wako na siyo mke wako Hivyo wewe una uhalali wa kumfanyia wako .kwanza nimependa swali uliloulizwa Huyu dada ulimkuta na bikira ?? Kama Hapana basi Huyu wameshachapa wengi sana na usije gombana na rafiki yako kwa sababu ya mwanamke wanawake wamejaa kibao tena wazuri Huyu ni mwogo mkubwa weka number yake ya simu Hapa Kama ajachapwa Kabla ya jumapili tuone Kama atakusimulia wengine wanaomchapa Kabisa anakuwaambiaga ??????