Rafiki yangu anamtongoza mpenzi wangu

Rafiki yangu anamtongoza mpenzi wangu

ukinipenda tunaendelea isnt?

Ndo maana yake hata mfuko wako wa shati hautajua......chezea nini????!!!
Sio kila jambo lakusema mengine yaishie tumbon ndo uanamke unavyotakiwa....utakuja kugombanisha watu bureeeee
 
huyo mdada kafanya vema kukuambia baada ya kufuatiliwa kwa muda mrefu
kuhusu biashara, weka mazingira mazuri ya kutodhulumiwa kama hajawahi kukudhulum kabla, ili likilipuka asikukomoe kwenye business yenu. jipe moyo
 
JF kuna magumegume balaa, we ni mwanamke kweli?



Sasa mpaka mtu amewekwa kwenye loudspeaker unataka uchunguzi gani? I doubt, nyie wengine ndo mnaona sawa tu kutembea na shemeji zenu.



Hivi umesoma vizuri alichokiandika? Au ni ule utaratibu wa kila thread lazima kuchangia hata kama hujui nini kinazungumziwa!



Mmmh



Kwa mentality hizi hamwezi kumiliki ndoa



Hivi mtu umemkatalia mpaka basi, ukimwambia ntasema hasikii na mnaonana mara kwa mara kwa sababu ni shemeji yako unahitaji hatua ipi zaidi ya kumwambia? Watu wa hivi hawachelewi kuja na tactics za tukose wote, akikutongoza ukachomoa atahamia kusema yeye ndo anatongozwa, so mwanaume akiambiwa na rafiki yake kwamba demu wake ni muhuni, fasta anamtema.



Jaribu kuufanyia kazi huu ushauri!

Tengana naye kibiashara haraka iwezekanavyo kabla hamjafika mbali, watu wa namna hii wana hulka ya kuona vya wenzio ndo vizuri, au wenzio hawastahili hivyo walivyonavyo. Itafikia sehemu ukinunua kitu chochote kizuri hata kama ni kwa fedha ya nje ya biashara ataona wivu na kusema umeiba kwenye biashara.

Usimwambie habari za yeye kumtongoza mpenzi wako, we achana naye haraka sana na urafiki upungue kabisa. Kama mtu anadiriki kukusemea mbaya kwa mpenzi wako tena uongo, ujue atakuchomea kwa polisi ili ufungwe yeye abaki na biashara.

Ukisha achana naye mkataze mpenzi wako kufanya mawasiliano yoyote na huyo mtu, siku ukiona hilo limekiukwa ujue na huyo ni wa kupiga chini.

Marafiki wanafiki ni wabaya sana kufanya nao biashara.

Asante sana kwa ushauri mzuri mdau mungu akubariki
 
hapo BongeMwepesi angalia sana ushauri anaotoa dada miss strong mi naona unafaa...unaweza gombana na kila mtu kisa mapenzi...pia jiulize ina maana wanaume wote wanaomtongozaga huko ukiachilia mbali huyo rafiki yako, huwa anakwambia au atakuwa anakuwambia? fuatilia kwanza ndg yangu ujue ukweli ndio uje kutafute suluhu. Pole sana kwa shida hiyo.

Ukweli upi na nimekwambia mpenzi alimuweka loudspeaker na message alizomtumia kanionyesha
 
Last edited by a moderator:
Akupe na cm yake pia ujue anaepiga nani,sms usome wewe zikiingia,usikasirike bila sababu yamsingi hata kama umemsikia kasema usije kuonekana mpuuzi kwa ajili ya mwanamke ambaye huli peke yako jamvini.......

Nahisi una matatizo ya ubongo
 
Mwanamke wa hivyo si wakuamini,hebu jiulize kama atakwambia kila atakaye mtongoza.

Kuwa makini anaweza kukugombanisha na kila mtu.
Sioni sababu ya kukwambia kama ana uwezo wa kumkataa.

Angesubiri shemeji yake apeleke maneno ya uongo kwa mchumba wake? Amemwambia baada ya kutishiwa na pia kwa kuwa ni mabest, wanaomtongoza wengine hasemi.
 
Angesubiri shemeji yake apeleke maneno ya uongo kwa mchumba wake? Amemwambia baada ya kutishiwa na pia kwa kuwa ni mabest, wanaomtongoza wengine hasemi.

Asante mkuu kwa ufafanuzi mzuri
 
Kuna marafik mi nawaogopa nilishawakatalia kukanyaga nyumbani, tukutane baa tuu..
 
ukisikiliza kila neno unaloambiwa na mwanamke utajikuta unaishi dunia ya kwako mwenyewe,,,,, hata maneno ya Mungu yanasema ishi na mwanamke kwa akili, anaweza kukuvuruga hapo ukaja juta,..... aliowakubalia amekwambia kwa nini huyo?,,, na je unajuaje yawezekana anataka ugombane na rafiki yako ilia apate nafasi nzuri ya kuonana nae?
na je unaweza thibitisha hayo anyosema huyo bidada? think beyond what you hear brother? their just words....

Hata kama kuna evidence?? Will you take that for granted?
 
mmmmmh wanawake pasua
kichwa sana bora niwe na nunua papuchi tu nikimaliza haja zangu
hatutafutani

eeh..kumbe?mwaga mwaga tu ndo hao watoto wanaotupwa mitaana...roho mbaya kwa wanawake..na wew unafanya nin?
 
Hata kama kuna evidence?? Will you take that for granted?

may be he will take for granted... but serious mapenzi na kazi si sawa.... the guy he need to focus, imagine aache kufanya biashara na jamaa aje kugundua demu alikuwa anamchuza atajuta maisha yake yote...
 
Back
Top Bottom