Rafiki yangu anamtongoza mpenzi wangu

Rafiki yangu anamtongoza mpenzi wangu

may be he will take for granted... but serious mapenzi na kazi si sawa.... the guy he need to focus, imagine aache kufanya biashara na jamaa aje kugundua demu alikuwa anamchuza atajuta maisha yake yote...

Kanionesha text anazomtumia one day anapiga simu kamuweka loudspeaker na kachukua hatua ya kunambia baada ya kuona kila akimwambia huyo rafiki yangu hataki na aache hiyo tabia hasikii
 
Kanionesha text anazomtumia one day anapiga simu kamuweka loudspeaker na kachukua hatua ya kunambia baada ya kuona kila akimwambia huyo rafiki yangu hataki na aache hiyo tabia hasikii

demu si amblock kwenye simu.... any way wewe fanya maamuzi unajua kipi jema na kipi si jema....
 
Huyo mpenzi wako ulimtoa bikra au ulishakutwa kadinywa????.....ishi na mwanamke kwa akili na usipoangalia waweza kugombana na kila mtu mpaka wazaz wako!!!!

I fu**ing tell these niggaz all the time. And you nailed it again. Man u just spoke my mind. Hawa viumbe unatakiwa ukae nao kwa akili sana. Huyu bwana kikubwa atulize mawazo na hasira, Aangalie pande zote mbili kwa umakini mkubwa, akishajua mchawi nani, Ku epusha matatizo / balaa kwa ustaarab tu atemane nae. Amuombe Mungu kisha asonge zake mbele, the best is yet to come. He has a great life ahead of him.
My Take: Hasira Hasara. This game of life has many tests !!
 
kama wewe ni mtoto wa mjini basi mletee utoto wa mjini wako atatulia mwenyewe.
Nalog off
 
Ndo maana yake hata mfuko wako wa shati hautajua......chezea nini????!!!
Sio kila jambo lakusema mengine yaishie tumbon ndo uanamke unavyotakiwa....utakuja kugombanisha watu bureeeee

Its right,ni utoto kusema!!
 
!
!
mkaushie tu mani,kama demu kamchomolea what else do you want?
mbona anaowapa wammege kisela hakwambii?....ngoja nikaoge nitarudi
 
!
!
demu akiwa mkali hutongozwa na tukadirie tu,watu wawili kwa siku=watu sitini kwa mwezi=watu mia tatu n kitu after six month. ni demu gani anaeza kuwachomolea wote hao? lazima katika mia mmoja afanikiwe,=kila mwezi angalau mara moja unamegewa........
mbona hakwambii teh teh teh
 
Mpaka ifikie hatua hiyo ya demu wako kukueleza ujue ndege kashaliwa (kagegedwa tayari), anachokitumia ni defence mechanism kuwa siku ukishtukia aseme nilishakuambia kuwa Rafiki yako ananifuata fuata. Kama demu wako hamtaki Rafiki yako ampe live na amkatishe tamaa lakini ukiona anaendelea kumu-entertain ujue ana lake jambo, huenda anapima upepo. Hivyo kuwa makini zaidi na huyo demu wako kuliko hata Rafiki yako. Go on your daily business with your friend, huenda demu wako ndiye kamshobokea akala mzigo sasa anaona maji ya shingo. Kama demu wako hamtaki kweli angemkataa hata bila ya wewe kujua. Jiulize hivi kila anayemtongoza/atakayemtongoza atakuambia? If no, muambie kuanzia sasa asikueleze upuuzi huo wa kukugombanisha wewe na Rafiki yako, afanye her own rational decision.
 
Asante sana kwa ushauri mzuri mdau mungu akubariki

Poa karibu! Haya mambo hayatabiriki bana, leo unaweza kumwambia mshkaji halafu kesho akamchukua demu ikawa aibu kubwa. Bora uachane naye bila kusema tatizo ni nini ili maisha yaendelee, na from there hutakiwi kutambulisha tena kwa dem wako kwa mshkaji.

Chunga sana watu wa hivi, hawapendi kuona wenzie wanamiliki vitu vizuri.
 
Kwani wewe nani alikutoa bikra??

Mwanaume mwenye pumzi yake........huyo demu huenda alitoka na mchiz mwingine sasa huyo rafik yko kajua nae anataka na labda kamwambia usiponipa na mm ntakuharibia,au demu wako anajua ukifanya nae biashara utapata story zake nying!!!Vitu km hvyo wewe kurupuka uone
 
hapo cha kufanya ni kukusanya mtaji wako, acha kufanya nae biashara

Muite umchane laivu

Kata mawasiliano nae

Hafai na haaminiki
 
Huyo mpenzi wako ulimtoa bikra au ulishakutwa kadinywa????.....ishi na mwanamke kwa akili na usipoangalia waweza kugombana na kila mtu mpaka wazaz wako!!!!

Hilo neno bold kweli kabisa nalichukia sana, ivi maana yake hasa nini? Mbona linanichefuaga mimi? Ivi hii imekaaje...Huyo mpenzi wako ulimtoa bikra au la/walitoa wenzio..(ilo neno miss strong ulotumia uuhhh,)
 
Back
Top Bottom