Rafiki yangu anamtongoza mpenzi wangu

Rafiki yangu anamtongoza mpenzi wangu

hii jamii forum sasa inataka kuharibiwa na mada za kijingajinga kama hizi,maelezo yako yanaonyesha tayari unalo jibu na unajua nini unapaswa kufanya? Tukushauri kipi tena?? Mlete kwangu basi huyo demu wako nimshauri ila umuache kwangu wiki mbili..

Kwani wewe dada umelazimishwa kushauri ?
 
Huyo mpenzi wako ulimtoa bikra au ulishakutwa kadinywa????.....ishi na mwanamke kwa akili na usipoangalia waweza kugombana na kila mtu mpaka wazaz wako!!!!

Maneno makali sana huo ni ushauri au unamwongezea machungu
 
jamaa kakuona kibonge kumbe hajui kwamba mwepes,anahisi haumshughulikii shemej ipasavyo
 
tafuta mnyonge nawewe ummegee haipunguzi maumivu bali inarudisha..................
 
Maneno makali sana huo ni ushauri au unamwongezea machungu

Namshauri asigombane na mwanaume mwenzie kisa mbunye.....unaweza ukakata mawasiliano na mtu.
Ila mwanamke awe na ujasir wakusema no sio kila jambo unaongea tu!!!!
 
Habari wana Jamvi,nina mpenzi ambaye tu wapenzi kwa muda sasa na tunatarajia kuoana soon,sasa nina rafiki yangu wa karibu tu ambaye pia tumeanzisha biashara pamoja .Sasa huyu rafiki yangu anamtongoza mpenzi wangu sikuweza kugundua hicho kitu mpaka mpenzi wangu aliponiambia sababu alianza mtongoza na huyu mpenzi wangu akamkatalia na kumtishia akiendelea ataniambia mimi,lakini rafiki yangu hakuelewa na mpenzi wangu akanambia na kuna siku alipiga simu mpenzi wangu akamuweka loudspeaker nikawa namsikia akimuambia mpenzi wangu mambo mengi ya uongo kuhusu mimi ikiwepo kuwa nina mahusiano na wapenzi wengine wengi na ni kitu sio cha kweli.Kwa kweli hasira kali zimenikamata na sijui nifanye ninikwa haraka nimefikiri kufuta ukaribu naye kabisa na nimuite nimuambie na kuanzia hapo urafiki ufike mwisho na pia kuacha kufanya nae hiyo biashara tumeanzisha pamoja maana Napata wasiwasi kama mtu anathubutu kutaka kukusaliti kwa kuwa na mahusiano na mpenzi wako basi hata anaweza kukusaliti au kukuuua kwenye biashara au pesa.....Naombeni tu ushauri wenu maana pia naona naweza fanya kitu kibaya kwake bure.

ndugu yangu siku zote unaambiwa kizuri kula na nduguyo na ukae ukijua mti wenye matunda ndio unaotupiwa mawe.
 
Mimi hua stak rafik yeyote awe karibu na mpenz wangu,mim tukae tuongee wee lakin nikienda kwa mpenz wangu nakua peke yangu,maana bora achukue wa mbali stak kufyatua mtu,kila abiria achunge mzigo wake mwenyewe
 
Habari wana Jamvi,nina mpenzi ambaye tu wapenzi kwa muda sasa na tunatarajia kuoana soon,sasa nina rafiki yangu wa karibu tu ambaye pia tumeanzisha biashara pamoja .Sasa huyu rafiki yangu anamtongoza mpenzi wangu sikuweza kugundua hicho kitu mpaka mpenzi wangu aliponiambia sababu alianza mtongoza na huyu mpenzi wangu akamkatalia na kumtishia akiendelea ataniambia mimi,lakini rafiki yangu hakuelewa na mpenzi wangu akanambia na kuna siku alipiga simu mpenzi wangu akamuweka loudspeaker nikawa namsikia akimuambia mpenzi wangu mambo mengi ya uongo kuhusu mimi ikiwepo kuwa nina mahusiano na wapenzi wengine wengi na ni kitu sio cha kweli.Kwa kweli hasira kali zimenikamata na sijui nifanye ninikwa haraka nimefikiri kufuta ukaribu naye kabisa na nimuite nimuambie na kuanzia hapo urafiki ufike mwisho na pia kuacha kufanya nae hiyo biashara tumeanzisha pamoja maana Napata wasiwasi kama mtu anathubutu kutaka kukusaliti kwa kuwa na mahusiano na mpenzi wako basi hata anaweza kukusaliti au kukuuua kwenye biashara au pesa.....Naombeni tu ushauri wenu maana pia naona naweza fanya kitu kibaya kwake bure.

Kwani huyo ni mkeo? Mpenzi anatongozwa tu nini uchangamyikiwe?
 
Back
Top Bottom