Rafiki yangu anamkimbia mkewe(Ushauri Plz)

Bora kama anamwambia kama anataka kuridhishwa kila saa, kuna wengine wangeshaanza kutafuta alternative. Kama ni miezi mitano itakuwa bado ni mshamba wa muhogo, akishauchoka atatulia mwenyewe.

Chengine kama ni housewife kwasasa inabidi amtafutie kazi ya kujishughulisha itakuwa akirudi home amechoka na labda mawazo yake yatahamia kwengine.
 
Asante MadameX......Ushauri wako ni mwanana

Nitaufanyia kazi
 
Apige msosi wa kueleweka, ugali, tembele,mlenda,kisamfu,sukuma wiki, matunda kwa kwenda mbele, pombe anywe kiasi kidogo, apunguze sigara, ale samaki kwa wingi, ataona tu kazi inakwenda. Ikishindikana apige mkuyat!
 
ha ha haaaa

[h=6]Boss simcheke muathiri, hujafa wala umbika
kithiri ufanye siri, chunga yasijekufika
hakuna alojasiri, wakujua yatofika
tafakari naukiri, bado tunahangaika.
[/h]
 
kiukweli hapo inaonyesha mara nyingi huwa haridhiki yaani hafiki kileleni jamaa anawahi kumaliza na kumuacha na njaa,ndiyo inamfanya kila wakati atamani lakini mwanamke akisha fika kileleni huwa ni wa chache sana wanatamani kurudia..azingatie kuwa wanawake wengi huwa hawafiki kileleni wengi huwa ni wasanii wanajiliza au kelele za kinafki umuone ana enjoy kumbe hana lolote mwisho wa siku anakupandisha midadi zaidi unamaliza kabla yake kisha yeye anaanza kudai upya,mwambie amsome vizuri na ampatie ahakikishe anamfikisha kileleni,.atatulia..na zaidi afuatilie ushauri wa Mkuu horse power ni wa msingi sana.utasaidia
 
.azingatie kuwa wanawake wengi huwa hawafiki kileleni wengi huwa ni wasanii wanajiliza au kelele za kinafki umuone ana enjoy kumbe hana lolote mwisho wa siku anakupandisha midadi zaidi unamaliza kabla yake kisha yeye anaanza kudai upya

tehe tehe, mkuu umenikuna sana, nimecheka kama mwehu, Safi sana ushauri wako, Nimekuaminia
 
Du ama kweli maisha ni mapambano,wengine wanapambana wapate wengine wanakimbia,wengine wanataka kila siku wanayimwa,wengine wanapewa kila siku wanakimbia,kaaaazi kweli kweli

Salam Wana JF
Kuna rafiki yangu wa karibu ambaye tumeshibana sana, toka ameoa sasa ni mwezi wa 5 , Jana nilikuwa naye akanieleza matatizo anayoyapata toka kwa mkewe. Aliniambia kuwa anajitahdi sana kumridhisha mkewe kwa tendo la ndoa, lakini huyu mke wake amekuwa akitaka sana mchezo kuzidi uwezo wake.
Kila mara mkewe anataka. Akikaa kuangalia tv sitting room mkewe huwa anamvutia chumbani na kumtaka ampe raha, Akimwambia amechoka, mkewe huwa analalamika sana, mara nyingine hulalamika kwa sauti kubwa mpaka rafiki yangu anahofia majirani wasije kusikia. Sasa hili jambo limekuwa kero mpaka siku hizi amebuni safari za mikoani na kumdanganya mkewe anasafiri kikazi ili aepukane na balaa la nyumbani. Kiukweli huwa haendi mikoani bali anakwenda gest kulala mpaka akijisikia ndio anarudi nyumbani na kuzuga anatoka mkoani.
Ameniomba nimpe ushauri afanye nini ili aweze kusolve hili tatizo, Wana Jf nimekuja kwenu kupata ushauri wenu ili niweze kumsaidia
 
Kamanda hebu tuweke waz, mwenye shida ni ww au rafik yako? manake kwa jibu hili hakuna shaka mhusika ni WEWE.

Mi nafikiri tufike wakati tuwe wa kweli ili mtu aweze kutusaidia, kama kuna tatatizo kwa nn umpakazie rafiki yako?
hahahah we boflo hawezi hiyo kitu si ashasema au>>>>>>
 
akizaa ataacha hizo hamasa zake, duuu hata kwenye dini tumeambiwa tuwe na kiasi, mpe mimba huyo utapumzika kaka angu
 
Salam Wana JF
Kuna rafiki yangu wa karibu ambaye tumeshibana sana, toka ameoa sasa ni mwezi wa 5 , Jana nilikuwa naye akanieleza matatizo anayoyapata toka kwa mkewe. Aliniambia kuwa anajitahdi sana kumridhisha mkewe kwa tendo la ndoa, lakini huyu mke wake amekuwa akitaka sana mchezo kuzidi uwezo wake.
Kila mara mkewe anataka. Akikaa kuangalia tv sitting room mkewe huwa anamvutia chumbani na kumtaka ampe raha, Akimwambia amechoka, mkewe huwa analalamika sana, mara nyingine hulalamika kwa sauti kubwa mpaka rafiki yangu anahofia majirani wasije kusikia. Sasa hili jambo limekuwa kero mpaka siku hizi amebuni safari za mikoani na kumdanganya mkewe anasafiri kikazi ili aepukane na balaa la nyumbani. Kiukweli huwa haendi mikoani bali anakwenda gest kulala mpaka akijisikia ndio anarudi nyumbani na kuzuga anatoka mkoani.
Ameniomba nimpe ushauri afanye nini ili aweze kusolve hili tatizo, Wana Jf nimekuja kwenu kupata ushauri wenu ili niweze kumsaidia
kabla ya kuendeelea sema mkewangu ananichosha jamani acha kusingizia watu kabla ya kuendelea
 
akizaa ataacha hizo hamasa zake, duuu hata kwenye dini tumeambiwa tuwe na kiasi, mpe mimba huyo utapumzika kaka angu
mpe msaada na upande wa pili ikiwa atozaa ama kukamata mimba akimbie nyumba ama??msaada bb
 
Mshauri rafiki anywe juice ya tende,supu ya pweza na shurba ni kiboko bi shoga lazma aende nyumban kupumzika
 
mpe msaada na upande wa pili ikiwa atozaa ama kukamata mimba akimbie nyumba ama??msaada bb
Unajua mpaka wameoana ina maana walimatch tabia, kwa hiyo ajiswitch tu hakuna kitakachoshindikana, tembelea kivulini pale ukale supu ya pweza maana una jinamizi hilo halitakwacha lol
 
watu hawana shukrani jaman duuh, watu wanalalamika wake zao wanawanyima sijui hawataki! ww unataka umkimbie tena ndoa ina miezi mitano tuu kazi imemshinda dah! na huyo bibie b4 ndoa hakuwa ivyo au? embu ridhikeni bandugu dah!
 
Kumbe ?
Mi siku zote hua najidanganya nikidhani hii maneno ya "Kuwachapanao" ni issue mderero kumbe kwangine ni shughuli ! Mpaka mtu anaumwaga .
 
Kumbe ?
Mi siku zote hua najidanganya nikidhani hii maneno ya "Kuwachapanao" ni issue mderero kumbe kwangine ni shughuli ! Mpaka mtu anaumwaga .

Umeona....?

Yaani mtu mzima kulala guest na huku ana nyumba yake anaiwacha......inauma sana
 
Mwambie rafiki yako asikimbie tatizo atafute siku ambayo yuko free kwa siku nzima amkune vizuri huyo mama hamu lazima imuishe.

Aache kuwa legelege mwambie apige vyombo kihardicore sio kumgusa tu
 
kweli kila mtu duniani ana matatizo yake binafsi...awe muwazi amwambie hawezi mudu game ya speed ya barcelona....
 
Back
Top Bottom