Rafiki yangu anamkimbia mkewe(Ushauri Plz) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rafiki yangu anamkimbia mkewe(Ushauri Plz)

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Boflo, Mar 14, 2012.

 1. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #1
  Mar 14, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  [FONT=&amp]Salam Wana JF[/FONT]
  [FONT=&amp]Kuna rafiki yangu wa karibu ambaye tumeshibana sana, toka ameoa sasa ni mwezi wa 5 , Jana nilikuwa naye akanieleza matatizo anayoyapata toka kwa mkewe. Aliniambia kuwa anajitahdi sana kumridhisha mkewe kwa tendo la ndoa, lakini huyu mke wake amekuwa akitaka sana mchezo kuzidi uwezo wake.[/FONT]
  [FONT=&amp]Kila mara mkewe anataka. Akikaa kuangalia tv sitting room mkewe huwa anamvutia chumbani na kumtaka ampe raha, Akimwambia amechoka, mkewe huwa analalamika sana, mara nyingine hulalamika kwa sauti kubwa mpaka rafiki yangu anahofia majirani wasije kusikia. Sasa hili jambo limekuwa kero mpaka siku hizi amebuni safari za mikoani na kumdanganya mkewe anasafiri kikazi ili aepukane na balaa la nyumbani. Kiukweli huwa haendi mikoani bali anakwenda gest kulala mpaka akijisikia ndio anarudi nyumbani na kuzuga anatoka mkoani. [/FONT]
  [FONT=&amp]Ameniomba nimpe ushauri afanye nini ili aweze kusolve hili tatizo, Wana Jf nimekuja kwenu kupata ushauri wenu ili niweze kumsaidia[/FONT]
   
 2. vanmedy

  vanmedy JF-Expert Member

  #2
  Mar 14, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 2,246
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Super shaft is highly recomended.. Daaah huyo shemeji ni waukwe'ehn.. Mbona raha duniani humu
   
 3. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #3
  Mar 14, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  duh! kwenye miti hakuna wajenzi sasa akiaga safari za mikoani ndio anamuachia mwenzie aingizwe ndani au akiaga safari
  ndio itakua hivyo maisha anaaga safari? kama uwezo mdogo aongeze kiwango,mwanamke hataki pesa wala nini anataka mapenzi duh yani ingekua kuna kuazimana huyo mkewe ningemuazima huyu wangu mie japo kwa masaa...
   
 4. D

  DOOKY JF-Expert Member

  #4
  Mar 14, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Aisee mke wako lazima atatoka nje na atampata mtu wa kumfikisha, miezi mitano tu, jamaa amechoka nilidhani ni miaka kadhaa wakiwa na watoto.

  Mwambie apunguze kula vyakula ambavyo havimpi ashike, ale, mfano, korosho, karanga mbichi, na vingine pia aweke ratiba ya kufanyakazi vizuri, wabongo we work hard bila ratiba tunasahau majukumu mengine ya family.

  Nawasilisha
   
 5. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #5
  Mar 14, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Kukimbia tatizo si njia muafaka ya kusolve tatizo, dawa ya kusolve tatizo ni kupambana nalo. Inaonyesha hiyo ndoa bado ni changa na ni kawaida kwa ndoa changa wahusika/mmoja wa wahusika kuwa na kiu ya huduma ya mara kwa mara. Sioni kama ni tatizo sana mke kuhitaji huduma ya mara kwa mara, ila kuna namna ya kumfanya apunguze speed yake hiyo kama inakushinda.

  Cha msingi, jenga mazingira ya kumtafutia kazi/shughuli za kumfanya bize muda mwingi ili awe anachoka na pia mshauri apate muda wa kufanya mazoezi mara kwa mara. Pata muda wa kukaa naye na kuongea na nakushauriana mipango ya baadaye ya maisha yenu.

  Usimuache muda mwingi pekee yake maana kwa kufanya hivyo unamjengea mazingira ya KUKUMISS zaidi na zaidi na kutamani kushiriki hilo tendo kila akikuona. Na hii ndiyo sababu iliyofanya mpango wako wa kukaa guest ufeli maana ni kama unajipalia makali ya moto kwa kujiweka mbali naye.

  Kumbuka pia ushirikiano wako na yeye ndiyo utakaomfanya azidi kujenga mazingira ya kukupenda na kukuzoea na kuliona hilo tendo kuwa ni jambo la kawaida na linaweza kutolewa kwa taratibu mlizojiwekea. Na la mwisho, endelea kujituma aisee kunako yale mambo.

  Kila la kheri,

  HorseP.
   
 6. Vaislay

  Vaislay JF-Expert Member

  #6
  Mar 14, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 4,512
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  hiz ndo zileeee tendo la ndoa mpk ndoa madhara ndo hayo...hili kweli zito,niwaachie wenyewe wacomment
   
 7. Eliphaz the Temanite

  Eliphaz the Temanite JF-Expert Member

  #7
  Mar 14, 2012
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,836
  Likes Received: 362
  Trophy Points: 180
  Amnunulie ki-f*****g machine!
   
 8. E

  ESAM JF-Expert Member

  #8
  Mar 14, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 962
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Huyo anapaswa kujitahidi kumridhisha, hilo ni suala la muda tu baada ya muda atazoea na kupunguza. Mwambie kumkimbia mwenzake anajenga mazingira ya kumfanya mwenzake kupata mtu mwingine. Yeye akabiliane na hilo kwa namna yoyote asikubali kushindwa. Na huyo mke hana wa kumkimbilia ikiwa anataka raha ni yeye tu ambaye ni mumewe hivyo anafanya vibaya sana kupanga safari za uongo
   
 9. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #9
  Mar 14, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Mwambie akazane kula mboga mboga za majani na ugali wa muhogo atakuwa na nguvu nyingi.
  Akishindwa anunu kifaru
   
 10. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #10
  Mar 14, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  Aajiri hausi bwoyi.
   
 11. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #11
  Mar 14, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mkuu HP......nimependa sana sana sana ushauri wako, nitaufanyia kazi
   
 12. Ndechumia

  Ndechumia JF-Expert Member

  #12
  Mar 14, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 1,015
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Kamanda hebu tuweke waz, mwenye shida ni ww au rafik yako? manake kwa jibu hili hakuna shaka mhusika ni WEWE.

  Mi nafikiri tufike wakati tuwe wa kweli ili mtu aweze kutusaidia, kama kuna tatatizo kwa nn umpakazie rafiki yako?
   
 13. salito

  salito JF-Expert Member

  #13
  Mar 14, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,366
  Likes Received: 352
  Trophy Points: 180
  Ni rafiki au wewe??humu jf watu hatusemi kama matatizo tunayo sisi,mara zote ni ya marafiki,ndugu na jamaa duh...hata hivyo mtafutie kazi ya kufanya mkeo kama ni mama wa nyumbani ambayo itamuweka bize na kumchosha...
   
 14. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #14
  Mar 14, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kweli kabisa naapa kwa dini zote sio mimi, ni rafiki yangu, siwezi kabisa kusingizia
   
 15. kiraia

  kiraia JF Gold Member

  #15
  Mar 14, 2012
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 1,614
  Likes Received: 268
  Trophy Points: 180
  Hahahaha amfungulie Kijiwe cha kufyetua Tofali na awe mmoja wa wale wanaofanya kazi akirudi home hatotamani hata kusikia hiyo kitu
   
 16. RICH OIL SHEIKH

  RICH OIL SHEIKH JF-Expert Member

  #16
  Mar 14, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 882
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0  Atafute msaidizi kama vipi; akichoka jamaa anamsaidia kumliwaza my wife wake
   
 17. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #17
  Mar 14, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  ha ha haaaa
   
 18. uttoh2002

  uttoh2002 JF-Expert Member

  #18
  Mar 14, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 3,679
  Likes Received: 2,743
  Trophy Points: 280
  Tendo la Ndoa ndo Ndoa yenyewe! Mwanamke Kama huyo hawezi kuwa mwaminifu, ajiulize tu kabla hajamuoa nani alikua anamridhisha, na anaposafiri na kumkimbia kuna wakware wanamla pengine Hata wewe ni Mmoja wao, huyo Mwanamke Ana pepo amuache kabla ya saa 9 Leo hakuna cha kuvumilia hapo.

   
 19. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #19
  Mar 14, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Huyo mwanamke chiboko!!kha. .......
  huyo mwanamke kabila gani?
  MP.
   
 20. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #20
  Mar 14, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hata wewe Boss nawe unanicheka kimafumbo!!
   
Loading...