Rafiki yangu anakaribia kumfumania mkewe

Usitishe watu ili waogope kukufumania na mke wa mtu,tutakudaka tu.Jiandae kupata Cha mtemakuni.
 
Umeona eenhh??.
 
Na vipi asipofuata sheria??, Matharani akaamua kukodi Mabaunsa km wanne hivi, wafukua mitaro wamempe naye haki yake ili kumpinguzia nyege za kutafuna wake za watu.
 
Na vipi asipofuata sheria??, Matharani akaamua kukodi Mabaunsa km wanne hivi, wafukua mitaro wamempe naye haki yake ili kumpinguzia nyege za kutafuna wake za watu.
Hilo linawezekana, yaani jino kwa jino.

Ndiyo maana ya watu kujichukulia sheria mkononi kutokana na udhaifu wa baadhi ya sheria zilizopo.

Mfano wezi na vibaka wanauawa kwa kuchomwa moto kwa sababu sheria za kuwatia hatiani ni dhaifu kuliko matendo yao ya kuvunja sheria wanayofanya katika jamii.
 
Si ndio hapo Mkuu!!!,ni muhimu kuangalia pia upande huo.Maana sio wote wanaokosewa wanafuata sheria.
 
We unadhani jamaa atafumania akimaliza atoe fain Kisha ashike mkono limkewe aridi nyumbani??

Anatimulia huko huko Kama mke wa mngoni atafungua madai wanamtafuta aliyetombwa na atalipa mwenyewe.
 
Mnaambiwa kila siku msioe hamsikii, mnajifanya kenge kusikia kwwnu hadi damu itoke maskioni.

Mbaya zaidi unaoa demu mkali, na mbaya kuliko zote unampenda kuliko anavokupenda. Dem kama huyo angemzalisha akawa anajilia huyo single maza taratibu angepungukiwa nini au ni misifa tu.

Wacha achapiwe tu.
 
Mkute jamaa Ana bastola gloko 17 akili itawakaha sawa Kam jama angu mmoja mbeya alijiona anaweza kupambana na njemba linalokula mke wake kumbe jamaa Ni gaid Ana bastola alivyo gongewa tu mlango jamaa walingia kwa Kasi ili kumsupress kumbe njemba kashtuka kaweka bastola ready kashika gloko 17 yake kwa umakini jamaa walikimbia walitawa nyika kusiko julikana na Leo anatamani kurudiana na mke wake pmj na kwamb alimkuta gest
 
Hiyo grisi nayo mtaitumia kwenye fumanizi?
 
Kila mbabe na mbabe wake, huyo Jamaa 40 zake hazijafika tu, huweziamini pamoja na bastola yake kitachompata zikifika 40 zake.
 
Hiyo grisi kwa ajili ya kulainisha maeneo incase ikihitajika kufanya hvyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…