Nitakuja na mrejesho naelekea duka la vifaa vya magari kununua grisi
Tena mtakayemfumania kama anaelewana vizuri na mkewe,ile mtakapomaliza mtoza faini huyo mgoni, basi mke wa mgoni atajitokeza na kumshika ugoni mke wa jamaa yako kwa kosa la kuzini na mumewe na atawalamba faini kubwa kuliko mliyomtoza nyie!
Hadithi yenyewe iko'ivii?Sasa Mkuu Mke Wa Jamaa akija kumtoza faini Mke wangu Mimi inanihusu nini kwa wakati huo?
Akitaka akamfunge, ila Mimi sitamchangia hata kumi.!
Jamaa yako hana akili! Mke hasomeshwi wala hapewi njia ya kutengeneza pesa tena mbaya kwa kusafiri safiri!
Ulweso soma hiki kisa utanielewa
Wanahisi wanawake wana busara kama sisi, hell noh a woman will fucq your brains off daily!Waambie ndugu zako hao
Eti unamuonea huruma mwanamke kwa kumfungulia biashara ya kusafiri safiri
Embu anajua ht wanawake jinsi walivyo ungrateful
Ishi nao kwa akili hao, wao hizo akili hawana kabisaaaa wanategemea zEtu
Ok nimekuelewa..Ila bado sijajua mume wa mke aliyefumaniwa analipaje fidia kwa mke wa mngoni?Hadithi yenyewe iko'ivii?
Nilishaishuhudia namna jamaa walivyosumbuana!
Jamaa aliwekewa mtego wa fumanizi, mtego ukanasa.
Si unajua penati zake huwaga kibwa kubwa, inategemea na mhemuko wa mlalamikaji, yeye ni kutaja tu hela kubwa kukomoa.
Mwenye mke akadai kulipwa millioni3 tena enzi hizo, jamaa kaitisha wapambe wake wakajichanga wakalipa.
Hapo hapo mke wa mgoni akazuka kumkamata ugoni mke wa mlalamikaji aliyekwishalipwa fidia kwa ushahidi ulio dhahiri.
Mke huyo akataka fidia ya millioni5!
Tangia wakati huo ndipo nilipofahamu kuwa kesi za ugoni hazina maana zaidi ya kudhalilishana tu.
Ni heri kuzuia ugoni usitendeke kuliko kuandaa fumanizi.
Sasa watu wengi hawafahamu kuwa ugoni mahakamani siyo jinai ni kesi ya madai.
Hata ukimkamata ugoni mtu ukampekeka polisi, hampokelewi mnaelekezwa kwenda mahakamani.
Haki sawa kwa wote, ndivyo sheria zilivyo.Ok nimekuelewa..Ila bado sijajua mume wa mke aliyefumaniwa analipaje fidia kwa mke wa mngoni?
Au huyo baada ya kulipwa akamsamehe mkewe hapo ndo na mke wa jamaa aliyefumaniwa akaja kudai?
Ulichosema kweli hutokea kwa baadhi ya wanandoa kuachana baada ya fumanizi.We unadhani jamaa atafumania akimaliza atoe fain Kisha ashike mkono limkewe aridi nyumbani??
Anatimulia huko huko Kama mke wa mngoni atafungua madai wanamtafuta aliyetombwa na atalipa mwenyewe.
Huu Uzi Ni mzuri kbsa Seema tu ujaweka vzr ungeanzisha kbsa Uzi ueleze mambo yaliyokutokeaMimi bwa nilifungulia duka la dawa muhimu dharau zikaanza nikiwa safarini sisalimiwi mpaka nianze mimi baadae nikasimama kazi nikaona michezo ya ajabu nikawa mpole siku nikaja nikamkuta mtu ndani alijua nimesafiri kesho yake nikamwambia naona hili duka limekupa wateja mpaka wa nyumbani Sasa nenda kwenu duka nikahamisha nikamwambia hao wanaokuona mzuri kwa huduma zangu acha nao wakuhudumie wale vya halali saivi kachoka yupo tu Hana mbele Wala nyuma dukani nimeweka mtu anauza maisha yanaendelea na hajui lilipo
Dah mkuu acha tu aisee sitaki kuwaza sana nilikotoka ila nimekikuta tu nakumbuka baada ya kuona huu uzi wa rafiki wa mkuuHuu Uzi Ni mzuri kbsa Seema tu ujaweka vzr ungeanzisha kbsa Uzi ueleze mambo yaliyokutokea
Pole Sana yaan mkeo alimleta mwanaume ndani kwako aje amtafune akijuwa kuwa umesafiri duh mbn ilikuwa ufanye mauaji kbsa ya kimbariDah mkuu acha tu aisee sitaki kuwaza sana nilikotoka ila nimekikuta tu nakumbuka baada ya kuona huu uzi wa rafiki wa mkuu