Rafiki yangu anakaribia kumfumania mkewe

Rafiki yangu anakaribia kumfumania mkewe

Aisee nyie acheni haya mambo, kutokana kuwa karibu na watu na sehemu niliyopo kuna jamaa kutoka mkoa x alimuwezesha mke wake kufanya biashara fulani kwenda mikoa fulani, baada ya biashara kukua mke kaanza kuleta zarau na kuwa bize sana na safari za huo mkoa.

Basi jamaa katupigia simu na kututumia picha kama yupo hiyo sehemu. Kwa kweli mwanamke ni mzuri sana na kokote anaitaji ulinzi kwa uzuri aliyo nayo.

Sasa jamaa naona kachanganyikiwa na maeneo tuliyopo mke wake anajiachia na mtu.

Jamaa anafunga safari kuja huku!

Nitakuja na mrejesho naelekea duka la vifaa vya magari kununua grisi

**Mrejesho *
Jamaa yupo njiani kutokana na mkoa aliopo anakuja na private car.tunacho fanya kwanza kutafuta polisi wa hayo maeneo na kufungua jarada kabla yote kuanza akifika na kupumzisha ili kesho tuanze na kazi iliyomleta

Mrejesho
Tumeingia hiyo sehemu X kama tulivokusudia tukiwa na jaziba na vilainishi vya mitambo aka gris.
kumbe jamaa kafungiwa rada bwana tokea alipotoka au siri ya kuja kushika ugoni imevuja humu !

Maana itakuwa kapa habari humu.

ila tunacho fanya tuta mtrack maana uwezo tunao labda akimbilie kwa shetani .

tumekamata mzigo anapokwenda kuchukulia ambao mwanamke alipofika.

kwa sasa kesi hipo polisi.

ila jamaa nilikuwa nimemuandalia kopo zima la grisi maana haishi haraka.

tutaendelea .....
Ugoni sio suala la polisi bro

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Haki sawa kwa wote, ndivyo sheria zilivyo.

Huyo mume wa mke aliyefumaniwa ndiye mlalamikaji, ndiye aliyeandaa fumanizi na kukamata ugoni na ndiye anayedai fidia.

Sasa kinachojitokeza hapo ni mke wa mgoni naye anazuka kuja kumkamata ugoni mke wa mlalamikaji kuzini na mumewe!

Yaani ugoni wa kwanza unakuwa ni wanaume kwa wanaume, huu ugoni wa pili unakuwa ni wa wanawake kwa wanawake.

Hili drafti likichezwa sawasawa, hela aliyolipwa mlalamikaji inarudi kwa mlalamikiwa kwa kesi iliyoibuliwa na mke wa mlalamikiwa.

Hapo mume kwa ghadhabu anaweza kusema mbele za watu "silipi" lakini kama bado anapenda kuendelea kuishi na huyo mwanamke, hela huitoa kwa siri kama ambavyo mataifa huwalipa "kikombozi" maharamia ya kisomali yanaposhikilia meli zao.

Kama mume(mlalamikaji) ataamua kukamata ugoni na kuivunja hiyo ndoa, ndiyo jukumu la kulipa hiyo faini litabaki kwa huyo mwanamke mfumaniwa.

Sijui kwa maelezo haya umeelewa point mkuu!
Basi watu wana mioyo yaani nimfumanie mwanamke then niwe na mpango wa kuendelea nae wa nini? Yaani nikishamfumania ndo mwisho wa safari yetu.
 
Aisee nyie acheni haya mambo, kutokana kuwa karibu na watu na sehemu niliyopo kuna jamaa kutoka mkoa x alimuwezesha mke wake kufanya biashara fulani kwenda mikoa fulani, baada ya biashara kukua mke kaanza kuleta zarau na kuwa bize sana na safari za huo mkoa.

Basi jamaa katupigia simu na kututumia picha kama yupo hiyo sehemu. Kwa kweli mwanamke ni mzuri sana na kokote anaitaji ulinzi kwa uzuri aliyo nayo.

Sasa jamaa naona kachanganyikiwa na maeneo tuliyopo mke wake anajiachia na mtu.

Jamaa anafunga safari kuja huku!

Nitakuja na mrejesho naelekea duka la vifaa vya magari kununua grisi

**Mrejesho *
Jamaa yupo njiani kutokana na mkoa aliopo anakuja na private car.tunacho fanya kwanza kutafuta polisi wa hayo maeneo na kufungua jarada kabla yote kuanza akifika na kupumzisha ili kesho tuanze na kazi iliyomleta

Mrejesho
Tumeingia hiyo sehemu X kama tulivokusudia tukiwa na jaziba na vilainishi vya mitambo aka gris.
kumbe jamaa kafungiwa rada bwana tokea alipotoka au siri ya kuja kushika ugoni imevuja humu !

Maana itakuwa kapa habari humu.

ila tunacho fanya tuta mtrack maana uwezo tunao labda akimbilie kwa shetani .

tumekamata mzigo anapokwenda kuchukulia ambao mwanamke alipofika.

kwa sasa kesi hipo polisi.

ila jamaa nilikuwa nimemuandalia kopo zima la grisi maana haishi haraka.

tutaendelea .....
Picha ya huyo mwanamke unayo utuwekee pengine nilitoka naye.
 
Pole Sana yaan mkeo alimleta mwanaume ndani kwako aje amtafune akijuwa kuwa umesafiri duh mbn ilikuwa ufanye mauaji kbsa ya kimbari
Na nilimuacha sijamgusa hata kwa ukucha mkuu,, nilipata nafasi ya kutafakari kabla sijafanya maamuzi kwanZa niliwaza je kabla ya kuwa na mke sikuwahi kuwa na mwanamke? Pili nikatafakari harakati zangu za kutafuta tonge nikaona naishia nyuma ya kuta ndefu huku bunduki zikinizunguka nikacheka Sana nikamwambia ibilisi kaishia kwako Kama amepitia kwako ili anipate nasikitika maana kashanikosa Mimi nawewe Basi na katika hili sihitaji mzee yeyote kunishauri maana nilikuoa Mimi
 
Basi watu wana mioyo yaani nimfumanie mwanamke then niwe na mpango wa kuendelea nae wa nini? Yaani nikishamfumania ndo mwisho wa safari yetu.
Mkuu nimeshuhudia "goni" nyingi watu wanafumania kisha wanaendelea na wake/ waume zao forever!
 
Mleta mada acha kiherehere, acha kujiingiza kwenye ishu zisizo kuhusu, Kuna msela mtaani amekula miaka 15 kwa kimbelembele kama chako.

Waliandaa fumanizi wakafaikiwa, baada ya kumkamata jamaa wakamgonga huku wakijiona wajanja.

KIlichowakuta ni kuwa Mume wa demu kala miaka 30, wapambe wake wawili chupuchupu kwa kuponea wamekula 15 kila mmoja.

FUNZO: UKIGUNDUA MKEO ANACHEPUKA NI MAWILI TU, ACHANA NAE TAFUTA MWENGINE AU KAMA UNAWEZA KUENDELEA NAE HIYO NI HIYARI YAKO. LAKINI KUJARIBU KUJIFANYA KIDUME UNAWEZA KUISHIA KUINGIA KWENYE MITIHANI MIZITO.
 
Liverpool VPN ana wambia Kila siku acheni kuoa mtakufa kabla ya muda wenu nyie hamsikii ndiyo kwanza mnazidi kuhamasisha wengine waoe Kwa kuwa uliza wataoa lini
 
Back
Top Bottom