Rafiki yangu amedisko

Rafiki yangu amedisko

dah....rafiki yangu pia alidisko pale.kamatii ilikaa
tukafanikiwa:
techniues
1.fata lecture m moja m moja wa.kla coarse
2.adult zine.za.kutosha
3.Make any adult conficing.liars.
4.Amfate lecture 1amabaye anahisi. atamsadia
sababu mzumbe kuna ile accumulation sups. ategue moja.
 
dah....rafiki yangu pia alidisko pale.kamatii ilikaa
tukafanikiwa:
techniues
1.fata lecture m moja m moja wa.kla coarse
2.adult zine.za.kutosha
3.Make any adult conficing.liars.
4.Amfate lecture 1amabaye anahisi. atamsadia
sababu mzumbe kuna ile accumulation sups. ategue moja.

Kwa huu uandishi basi hata wewe pia Ulidisko.
 
Rafiki yangu ana soma mzumbe mwaka wa 2 matokeo yame toka amedisko...ana fanya mpango wa ku appeal ..da namuonea sana huruma mana jana jilipia ata bumu hapati ..ALAFU NI MTOTO WA KIKE..nimsaidiaje wakuu naomben mawazo yenu

Anasoma kozi gan????
 
Hivi mtu ana-disco chuo alikuwa anasoma au anacheza tu. Hakuna elimu iliyo rahisi kufaulu kama chuo kikuu. Hii semester system ni ya ku-disco kweli? Kwangu mimi kitabu kigumu ni mtihani wa form 4 na form 6.
 
1. Je nini kimemfanya kufeli???
2. Ikiwa kama ameshindwa Elimu ya Juu (elimu rahisi kama Elimu ya chini - chekechea) mshauri atafuta namna nyingine ya maisha.
3. Lecturer wetu mmoja alikuwa nasetuambia "si lazima wote mhitimu".
4. Yeye ni mtu mzima anaweza kujaribu ndoa.
5. Ikiwa kama ameshindwa kujifaulisha chuo, basi atalifelisha taifa.
 
ahaaaa kuliwa kichwa on air kama amedisko asubiri mwakani kwa ajili ya kuanza upya kwani kwa sasa CAS za nacte na tcu hazifanyi kazi mpaka mwakani duuu kudisko kuchungu sana wajameni pole ndo maisha hayo ama afanye plan B tu
 
Sisi cheti tulianza 116 IAA kozi yetu mpaka tunamaliza diploma tumemaliza 46 na wengine hawajafikisha GPA kati ya hao 46. Mpe pole sana asee inauma sisi waliodisco ni wale wanajifanya wametoka dar watoto wa mujini kumbe kichwani hakuna kitu...
 
Back
Top Bottom