100byte
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 220
- 61
Habari ya usiku wapendwa.
Mimi ni mwanamke age 40 to 45 ni mwajiriwa na pia mjasiriamali nahitaji marafiki wa jinsia zote, umri wowote ili tuweze kujadili kuhusu Maendeleo hasa kuongezeana ujuzi na mbinu za kibiashara, maana mishahara peke yake haitoshi kukidhi mahitaji yetu. asante, mawasiliano 0787 010718.