Ipo hewani mbonaHapana wewe ni mzuri
Your sound make me......
Vipi lakini ile namba yako mwisho 82 mbona haipatikani
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina njaa kwny kusaidiwa kuna mengi sio lazma kulaEgemea unapotulizia njaa zako ila tahadhar si muda watakurudisha uswahilini kwenu na manati
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] sawaaThese are young girls.
Hawazidi 23.
Ndo tule tuschana unatukutaga Buckets, Havoc ama Tips washroom turembo tumelewaaaaa. Wamekaa wanatia story mara wanalia na kuliwazana.[emoji16][emoji16]
Nawaangaliaga weee.
Work on your confidence honey. Confidence is sexy. Look in the mirror and get aquainted with the reflection in the mirror.
About the love triangle, you may choose to be honest about it, or cut yourself off from the friendship.
Ya zamani yapi??teelyz njoo huku na sisi tukumbushiane yale yetu ya zamani au vipi?
Sent using Jamii Forums mobile app
jikite kwenye mahaba yenu zaidi, hayo mengine yatakugomnanisha na mashost.
Duuuu yani kama mwanaume nimeumia hili jibu lako..unahitaji kujiamini na ujikubali no matter what..dont fight with your external outlook just embrace your goals and be positive.
Lakini sasa nimegundua kwamba kumbe huyu mwanaume na huyu rafiki mwingine walikuwa wapenzi kwa muda wa miaka kama 3 kasoro ila tu walitengana siwezi jua sababu but hiyo sio shida shida ni kwamba wameanzisha mahusiano upya ya kimyakimya wanamzunguka huyu wakishua kama mnavyojua wanasemaga mahawara hawaachani.
Sasa hajikubali au ndivyo alivyo??? Tena mimi namwendea pm nimempenda anavyojiamini..Ila my dear una katabia kakutojikubali.. mara kafupi mara upo ugly duh..btw mambo ya ngoswe mwachie ngoswe
Sent using Jamii Forums mobile app