Apige kimya mwenyewe atakuja kujua kwa wakati wake, akikurupuka anavunja urafiki maana ushahidi watakuwa hana na ataonekana mchawi kati yaomwambie tu maana ukweli haujifichi ipo siku tu ataujua ukweli na akijua atakuchukia na wewe maana atajua na wewe ulikua unajua ila hukumwambia
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikukuelewa mwanzo,sorryLakini sasa nimegundua kwamba kumbe huyu mwanaume na huyu rafiki mwingine walikuwa wapenzi kwa muda wa miaka kama 3 kasoro ila tu walitengana siwezi jua sababu but hiyo sio shida shida ni kwamba wameanzisha mahusiano upya ya kimyakimya wanamzunguka huyu wakishua kama mnavyojua wanasemaga mahawara hawaachani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni connect na huyo wa kishua nimchukue, ni Pm namba yake, huwa mm napenda sana wanawake wa namna hiyo kwa sababu hata nauli atakuwa nayoHabari zenu wadau,mimi ni binti nna marafiki zangu wawaili mmoja wa kishua sana mimi na mwingine ni maisha ya kati tu,kwenye urafiki wa watu watatu lazima kuna yule mmoja ye yupo nyumanyuma tu sasa huyo ndo mimi,
Kwanza kabisa hao wenzangu wawili warefu afu mimi kafupi ,pili wa kishua mweupe na huyo mwingine mweusi na wote ni warembo yani nikitembea nao mi naonekana kama msindikizaji na vile am ugly naachwaga tu kwny mataa muda mwingi, huyu wakishua na mimi we been friend for like 7 years,huyu mwingine tumuite Asha,yeye alikuja akatuta then akachukua nafasi yangu na mimi sio mtu wakutengeza new friends so nikastick tu hapo for company.
Story ni hivi huyu wa kishua ana mpenzi na wamekuwa wote kwa mwaka tu sasa na yeye ndo amekuwa akimuhudumia huyo mwanaume kwa asilimia sabini,mwanaume yeye anafanya biashara ya kutoa na kuweka pesa kwenye mitandao,na biashara hiyo huyu wa kishua ndo kampa mtaji.
Lakini sasa nimegundua kwamba kumbe huyu mwanaume na huyu rafiki mwingine walikuwa wapenzi kwa muda wa miaka kama 3 kasoro ila tu walitengana siwezi jua sababu but hiyo sio shida shida ni kwamba wameanzisha mahusiano upya ya kimyakimya wanamzunguka huyu wakishua kama mnavyojua wanasemaga mahawara hawaachani.
Wakishua licha ya kwamba now mimi sio her best friend kivile but ananijali nikiwa na shida mbalimbali na always amekuwa kati ya watu wanaonisaport sana kwenye mambo nayofanya,actually mimi nampenda sana kama mtu wangu wa karibu na kama dada coz kanizidi miaka 2,sasa baada ya kujua hii situation natamani kumwambia huyu wa kishua kuhusu huu mchezo anaochezewa but nashindwa nianzie wapi coz hapa kati nilikuwa najitenga nao mpka wakishua aliniuliza kama naona wivu kuhusu ukaribu wak ,kitu ambacho kama mwanadamu mwny hisia kiliniumiza so nawaza nikimwambia si atajua kweli nna wivu,!wadau ushauri wenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sorry and thanksDuuuu yani kama mwanaume nimeumia hili jibu lako..unahitaji kujiamini na ujikubali no matter what..dont fight with your external outlook just embrace your goals and be positive.
Mkuu hao sio mume na mke wanao ongelewa hapa ni wadhinifu watatu.Kwa sisi waislamu tumeambiwa, ukiona dhuluma iondoe kwa mkono wako, ukishindwa ikemee, na ukishindwa yote hayo basi ichukie ingawa kuichukia ni udhaifu wa imani.
Kwako wewe angalau umeichukia ila inaonekana you can go one step further, kuikemea au kuiondo so ongea na yoyote kati yao ( hasa huyo rafiki wako) wakikuona unaonea wivu na urafiki wao basi kaa pembeni wakija kutibuana wenyewe wewe utakuwa haupo tena.
But hakuna chochote cha zamani btn you and me,sorry kama pia bado sijakuelewa
But hakuna chochote cha zamani btn you and me,sorry kama pia bado sijakuelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna namna wewe mwambie ukweli huyo mwenzio. Rafiki wa kweli ni yule anaeniambia ukweli,hata kama unauma. Hapo wewe jiandae kwa vyote ukimwambia ukweli kama ataupokea vibaya wewe kaa pembeni,lakini ipo siku tu ukweli utajitokeza na atajua. Kibaya kama hujamwambia halafu akajua ukweli kwa njia nyingine na akajua na wewe ulikuwa unajua,ila ukamezea,atakuchukia sanaHabari zenu wadau,mimi ni binti nna marafiki zangu wawaili mmoja wa kishua sana mimi na mwingine ni maisha ya kati tu,kwenye urafiki wa watu watatu lazima kuna yule mmoja ye yupo nyumanyuma tu sasa huyo ndo mimi,
Kwanza kabisa hao wenzangu wawili warefu afu mimi kafupi ,pili wa kishua mweupe na huyo mwingine mweusi na wote ni warembo yani nikitembea nao mi naonekana kama msindikizaji na vile am ugly naachwaga tu kwny mataa muda mwingi, huyu wakishua na mimi we been friend for like 7 years,huyu mwingine tumuite Asha,yeye alikuja akatuta then akachukua nafasi yangu na mimi sio mtu wakutengeza new friends so nikastick tu hapo for company.
Story ni hivi huyu wa kishua ana mpenzi na wamekuwa wote kwa mwaka tu sasa na yeye ndo amekuwa akimuhudumia huyo mwanaume kwa asilimia sabini,mwanaume yeye anafanya biashara ya kutoa na kuweka pesa kwenye mitandao,na biashara hiyo huyu wa kishua ndo kampa mtaji.
Lakini sasa nimegundua kwamba kumbe huyu mwanaume na huyu rafiki mwingine walikuwa wapenzi kwa muda wa miaka kama 3 kasoro ila tu walitengana siwezi jua sababu but hiyo sio shida shida ni kwamba wameanzisha mahusiano upya ya kimyakimya wanamzunguka huyu wakishua kama mnavyojua wanasemaga mahawara hawaachani.
Wakishua licha ya kwamba now mimi sio her best friend kivile but ananijali nikiwa na shida mbalimbali na always amekuwa kati ya watu wanaonisaport sana kwenye mambo nayofanya,actually mimi nampenda sana kama mtu wangu wa karibu na kama dada coz kanizidi miaka 2,sasa baada ya kujua hii situation natamani kumwambia huyu wa kishua kuhusu huu mchezo anaochezewa but nashindwa nianzie wapi coz hapa kati nilikuwa najitenga nao mpka wakishua aliniuliza kama naona wivu kuhusu ukaribu wak ,kitu ambacho kama mwanadamu mwny hisia kiliniumiza so nawaza nikimwambia si atajua kweli nna wivu,!wadau ushauri wenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata wewe nakutaka unaoneka hadhi yangu kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app[/tatizo ulishasema wewe ni m'bovu anayway una chura?