Rafiki wa kishua anaibiwa

Rafiki wa kishua anaibiwa

These are young girls.

Hawazidi 23.

Ndo tule tuschana unatukutaga Buckets, Havoc ama Tips washroom turembo tumelewaaaaa. Wamekaa wanatia story mara wanalia na kuliwazana.😁😁

Nawaangaliaga weee.

Work on your confidence honey. Confidence is sexy. Look in the mirror and get aquainted with the reflection in the mirror.

About the love triangle, you may choose to be honest about it, or cut yourself off from the friendship.
 
wewe sio mbaya.. ni mzuri sana .. una uzuri wako umejificha sehemu..
 
These are young girls.

Hawazidi 23.

Ndo tule tuschana unatukutaga Buckets, Havoc ama Tips washroom turembo tumelewaaaaa. Wamekaa wanatia story mara wanalia na kuliwazana.

Nawaangaliaga weee.

Work on your confidence honey. Confidence is sexy. Look in the mirror and get aquainted with the reflection in the mirror.

About the love triangle, you may choose to be honest about it, or cut yourself off from the friendship.
sawaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kikubwa hapo angalia kama huyo anaezungukwa ana busara? Ana subira? Ana moyo?
Kama jibu ni yes basi mwite mkae sehem umueleze kila kitu. Kama ni mtu wa kupanic achana nae atakuja kugundua mwenyewe.
Siunajua penzi kikohozi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ya zamani yapi??

Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini sasa nimegundua kwamba kumbe huyu mwanaume na huyu rafiki mwingine walikuwa wapenzi kwa muda wa miaka kama 3 kasoro ila tu walitengana siwezi jua sababu but hiyo sio shida shida ni kwamba wameanzisha mahusiano upya ya kimyakimya wanamzunguka huyu wakishua kama mnavyojua wanasemaga mahawara hawaachani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom