and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 27,921
- 39,107
aisee nipe namba ya huyo demu wa kishua, anagalau nizifaid kabla "baba mkwe" hajatumbuliwa
Hiki kitu kimewahi kunitokea, best yangu wa nguvu alinichukulia boyfriend wangu na baadae tuligombana mwishowe tulipoteza wote. Urafiki uliisha siku hiyohiyo na kila mtu na 50 zake. Wanawake sijui tukoje, yani mwenzio yupo pale nawe unajichomeka hapo hapo. Mwambie tu kinuke shoga yangu maana best ataletewa magonjwa na mahamuma arudiaye makombo.Habari zenu wadau,mimi ni binti nna marafiki zangu wawaili mmoja wa kishua sana mimi na mwingine ni maisha ya kati tu,kwenye urafiki wa watu watatu lazima kuna yule mmoja ye yupo nyumanyuma tu sasa huyo ndo mimi,
Kwanza kabisa hao wenzangu wawili warefu afu mimi kafupi ,pili wa kishua mweupe na huyo mwingine mweusi na wote ni warembo yani nikitembea nao mi naonekana kama msindikizaji na vile am ugly naachwaga tu kwny mataa muda mwingi, huyu wakishua na mimi we been friend for like 7 years,huyu mwingine tumuite Asha,yeye alikuja akatuta then akachukua nafasi yangu na mimi sio mtu wakutengeza new friends so nikastick tu hapo for company.
Story ni hivi huyu wa kishua ana mpenzi na wamekuwa wote kwa mwaka tu sasa na yeye ndo amekuwa akimuhudumia huyo mwanaume kwa asilimia sabini,mwanaume yeye anafanya biashara ya kutoa na kuweka pesa kwenye mitandao,na biashara hiyo huyu wa kishua ndo kampa mtaji.
Lakini sasa nimegundua kwamba kumbe huyu mwanaume na huyu rafiki mwingine walikuwa wapenzi kwa muda wa miaka kama 3 kasoro ila tu walitengana siwezi jua sababu but hiyo sio shida shida ni kwamba wameanzisha mahusiano upya ya kimyakimya wanamzunguka huyu wakishua kama mnavyojua wanasemaga mahawara hawaachani.
Wakishua licha ya kwamba now mimi sio her best friend kivile but ananijali nikiwa na shida mbalimbali na always amekuwa kati ya watu wanaonisaport sana kwenye mambo nayofanya,actually mimi nampenda sana kama mtu wangu wa karibu na kama dada coz kanizidi miaka 2,sasa baada ya kujua hii situation natamani kumwambia huyu wa kishua kuhusu huu mchezo anaochezewa but nashindwa nianzie wapi coz hapa kati nilikuwa najitenga nao mpka wakishua aliniuliza kama naona wivu kuhusu ukaribu wak ,kitu ambacho kama mwanadamu mwny hisia kiliniumiza so nawaza nikimwambia si atajua kweli nna wivu,!wadau ushauri wenu
Sent using Jamii Forums mobile app
even though,lkn sifa ya mwanamke ni kujikubali vile ulivyo na wengine pia watakukubali,mimi ni mweusi,kafupiii,lkn najikubali balaaa.😄😄
Ushauri wangu tulia tu usiwaambie mambo yatajianika yenyewe dunian hakuna siriHabari zenu wadau,mimi ni binti nna marafiki zangu wawaili mmoja wa kishua sana mimi na mwingine ni maisha ya kati tu,kwenye urafiki wa watu watatu lazima kuna yule mmoja ye yupo nyumanyuma tu sasa huyo ndo mimi,
Kwanza kabisa hao wenzangu wawili warefu afu mimi kafupi ,pili wa kishua mweupe na huyo mwingine mweusi na wote ni warembo yani nikitembea nao mi naonekana kama msindikizaji na vile am ugly naachwaga tu kwny mataa muda mwingi, huyu wakishua na mimi we been friend for like 7 years,huyu mwingine tumuite Asha,yeye alikuja akatuta then akachukua nafasi yangu na mimi sio mtu wakutengeza new friends so nikastick tu hapo for company.
Story ni hivi huyu wa kishua ana mpenzi na wamekuwa wote kwa mwaka tu sasa na yeye ndo amekuwa akimuhudumia huyo mwanaume kwa asilimia sabini,mwanaume yeye anafanya biashara ya kutoa na kuweka pesa kwenye mitandao,na biashara hiyo huyu wa kishua ndo kampa mtaji.
Lakini sasa nimegundua kwamba kumbe huyu mwanaume na huyu rafiki mwingine walikuwa wapenzi kwa muda wa miaka kama 3 kasoro ila tu walitengana siwezi jua sababu but hiyo sio shida shida ni kwamba wameanzisha mahusiano upya ya kimyakimya wanamzunguka huyu wakishua kama mnavyojua wanasemaga mahawara hawaachani.
Wakishua licha ya kwamba now mimi sio her best friend kivile but ananijali nikiwa na shida mbalimbali na always amekuwa kati ya watu wanaonisaport sana kwenye mambo nayofanya,actually mimi nampenda sana kama mtu wangu wa karibu na kama dada coz kanizidi miaka 2,sasa baada ya kujua hii situation natamani kumwambia huyu wa kishua kuhusu huu mchezo anaochezewa but nashindwa nianzie wapi coz hapa kati nilikuwa najitenga nao mpka wakishua aliniuliza kama naona wivu kuhusu ukaribu wak ,kitu ambacho kama mwanadamu mwny hisia kiliniumiza so nawaza nikimwambia si atajua kweli nna wivu,!wadau ushauri wenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio ndio au anaweza geuziwa kibao kuwa anamtaka shem darling wakeWaache wenyewe waendelee kuzungukana ipo siku rafiki yako atakuja kuona mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi umeona hapa huuu ndio ushauri sasautamuharibia jamaa yangu mwache aendelee kula wote wakati anatafuta wa kuweka ndani
Habari zenu wadau,mimi ni binti nna marafiki zangu wawaili mmoja wa kishua sana mimi na mwingine ni maisha ya kati tu,kwenye urafiki wa watu watatu lazima kuna yule mmoja ye yupo nyumanyuma tu sasa huyo ndo mimi,
Kwanza kabisa hao wenzangu wawili warefu afu mimi kafupi ,pili wa kishua mweupe na huyo mwingine mweusi na wote ni warembo yani nikitembea nao mi naonekana kama msindikizaji na vile am ugly naachwaga tu kwny mataa muda mwingi, huyu wakishua na mimi we been friend for like 7 years,huyu mwingine tumuite Asha,yeye alikuja akatuta then akachukua nafasi yangu na mimi sio mtu wakutengeza new friends so nikastick tu hapo for company.
Story ni hivi huyu wa kishua ana mpenzi na wamekuwa wote kwa mwaka tu sasa na yeye ndo amekuwa akimuhudumia huyo mwanaume kwa asilimia sabini,mwanaume yeye anafanya biashara ya kutoa na kuweka pesa kwenye mitandao,na biashara hiyo huyu wa kishua ndo kampa mtaji.
Lakini sasa nimegundua kwamba kumbe huyu mwanaume na huyu rafiki mwingine walikuwa wapenzi kwa muda wa miaka kama 3 kasoro ila tu walitengana siwezi jua sababu but hiyo sio shida shida ni kwamba wameanzisha mahusiano upya ya kimyakimya wanamzunguka huyu wakishua kama mnavyojua wanasemaga mahawara hawaachani.
Wakishua licha ya kwamba now mimi sio her best friend kivile but ananijali nikiwa na shida mbalimbali na always amekuwa kati ya watu wanaonisaport sana kwenye mambo nayofanya,actually mimi nampenda sana kama mtu wangu wa karibu na kama dada coz kanizidi miaka 2,sasa baada ya kujua hii situation natamani kumwambia huyu wa kishua kuhusu huu mchezo anaochezewa but nashindwa nianzie wapi coz hapa kati nilikuwa najitenga nao mpka wakishua aliniuliza kama naona wivu kuhusu ukaribu wak ,kitu ambacho kama mwanadamu mwny hisia kiliniumiza so nawaza nikimwambia si atajua kweli nna wivu,!wadau ushauri wenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila my dear una katabia kakutojikubali.. mara kafupi mara upo ugly duh..btw mambo ya ngoswe mwachie ngoswe
Sent using Jamii Forums mobile app
Inauma sana kuona rafikiako anasalitiwa. Ila m naona ungemwambia ila utafte namna nzuri ya kumfikishia ujumbe siyo ukurupuke tu.
hapana siyo ushauri ni maoni#no hard feelingsHivi umeona hapa huuu ndio ushauri sasa