wewe uko vipi mbona hujielezi
moyo wako ushamwemwereka mara hii?
Ahhhhha wala nauliza tu labda ukumwemwerekee ww
kile kibabu chako ndo tatizo.... tungemwemwerekeana eti....
Hahaaa km una sifa hizo manake utakuja pm then ntakutajia zangu tuone km tunaendana ili tumove on mama facebook
Wakuu nahitaji rafiki wa kike mwenye umri 18 mpk 24 ambaye km tutaendana kitabia tunaweza kwenda zaidi ya urafiki...awe maji ya kunde au mweusi urefu wa wastani asiwe mnene sana..elimu kuanzia form four...aliye tayar anitumie msg binafsi.
Teh teh teh na mm najua hujafall nlikua natoa ufafanuzi tu kwa ambao wangepata utata ktk kuelewa km wewe..samahani piaa
Wakuu nahitaji rafiki wa kike mwenye umri 18 mpk 24 ambaye km tutaendana kitabia tunaweza kwenda zaidi ya urafiki...awe maji ya kunde au mweusi urefu wa wastani asiwe mnene sana..elimu kuanzia form four...aliye tayar anitumie msg binafsi.
Wakuu nahitaji rafiki wa kike mwenye umri 18 mpk 24 ambaye km tutaendana kitabia tunaweza kwenda zaidi ya urafiki...awe maji ya kunde au mweusi urefu wa wastani asiwe mnene sana..elimu kuanzia form four...aliye tayar anitumie msg binafsi.
Mkorogo umeniharibia...
Hahaaa km una sifa hizo manake utakuja pm then ntakutajia zangu tuone km tunaendana ili tumove on mama facebook
Hahaaa najua wengine wana ndugu jama na marafiki wenye vigezo tajwa..wanaweza wasaidiaa..they will jus act as messengers
Hana mkuu