- Thread starter
- #61
kwani shule zishafungwa jamani??
kwa nn MUSOLIN????
kwani shule zishafungwa jamani??
kwani shule zishafungwa jamani??
piga tenaa
Tunasubiri post za form five, mi natamani kupangiwa HKL wewe je?
Eeeh mara hii mi nimekuwa mussolin?aaah mm ni mfanyakazi wa serikali bwana Mussolin
mbona haipokelewi?
Eeeh mara hii mi nimekuwa mussolin?
Naona, NIlijua umeshafika mazoezini kumbe badoHarufu hapa leo kazi ipo
umbea nacho kipaji
Ha ha ha kazi kufatilia mipango ya watu, tulishindwana hana assets ndani ana stuli mbili tu
Kuna dressing table aliwahi kupiga nayo picha, sio yake kweli!
Hvii vitoto banaaa...ni shiiiiiiiida!
sawa mm kitoto ila tu forenishe mishahara hapa ndyo 2tajua nani ni nani
Wee wategemea mshahara???poulee miye nimejiajir!!poor u
usipouza usinitafute
Wee wategemea mshahara???poulee miye nimejiajir!!poor u
Hahaaa we nichokozeeee!
wewe tena ntukupa bana