Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
mimi niko na 22
i can see
mimi niko na 22
i can see
Wee mbaya, poa nimekupatapouwa ryt now coz muda si mrefu naenda mazoezini
pouwa ryt now coz muda si mrefu naenda mazoezini
Wee mbaya, poa nimekupata
ka unaenda mzoezini mie nifanyaje
hahah ye mbayaaaaaaaa nimerudia kusoma senetensi nimecheka sana
Anajua umeonyesha interest na akitoka huko ataanza kukuuliza umeshakula babyka unaenda mzoezini mie nifanyaje
Samahani mkuu naomba unipe umbea kidogo, vipi Evelyn salt? hujang'oa?! Maana niliona mambo yamepamba moto
Anajua umeonyesha interest na akitoka huko ataanza kukuuliza umeshakula baby
Nitakufahamisha kwa PM, hapa naona tutasababisha ugomvi mkubwa si unamjua Evelyn Salt mtata sana 🙂
Samahani mkuu naomba unipe umbea kidogo, vipi Evelyn salt? hujang'oa?! Maana niliona mambo yamepamba moto
Ha ha ha kazi kufatilia mipango ya watu, tulishindwana hana assets ndani ana stuli mbili tu