HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,704
- 48,140
Sasa na wewe unafanya nini?! Umeharibu mambo yote.Ha ha ha kazi kufatilia mipango ya watu, tulishindwana hana assets ndani ana stuli mbili tu
Ulitakiwa umtunzie siri mwenzio, wewe unamwanika,ndo maana hamudumu kwenye ndoa siku hizi, mambo kama hayo