Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Hamchukii, anaogopa ndo maana anamkwepa!!!Nikajua kamchukia baada ya kujua anagawa kijambio....
Halafu babu hizo mapicha acha bhanaa, unawapa sifa ujue
Hamchukii, anaogopa ndo maana anamkwepa!!!Nikajua kamchukia baada ya kujua anagawa kijambio....
Hahahahaaa...Hamchukii, anaogopa ndo maana anamkwepa!!!
Halafu babu hizo mapicha acha bhanaa, unawapa sifa ujue
Ko umenicheka auHahahahaaa...
Hebu nifafanulie hapo kwa red...Ko umenicheka au
Ila avatar yko inanichekeshaNisamehe mpenzi...
mbn hujavaa nguoHahahaHebu nifafanulie hapo kwa red...
Unamchungulia babu?? Huogopi laana?Ila avatar yko inanichekeshambn hujavaa nguo
Mmmmmhhhh....Hahaha
Babu akee, Umesahau enzi zile ule mchepuko wako ulivyokuwa Ukiandika eeehh
Yaan nahofia sana Asprin....yaan siku hizi ukiwa na mtoto wa kiume pressure juu kuliko wa kike.Sielewi hata wanashawishiwaga na nini kuingia huku,ila nadhani kumpa uhuru mtoto kabla hajafika angalau miaka 20 ndio shida.Unahofia anaweza kuja kupakatwa kama huyu jamaa
![]()
Kwaiyo wewe unaweza kumsaidia mshikaji kumpenda uyo shoga?Lakini mama, si imeandikwa tuwapende adui zetu?
Kha mke akijua si ndo kitanuka wanawake akili zao zinawatosha wenyewe wachache sana waelewa mwingine anaweza kukuwazia kuwa ushapiga nae game unajibaraguza tuPole mkuu mkwepe na ikiwezekana mwambie mkeo tabia ya rafiki yako ili akusaidie kumkwepa
Ko Unajisahaulisha eeehh...Mmmmmhhhh....
Mi hata sielewi bhana....Ko Unajisahaulisha eeehh...