We achana na mambo hayo ndugu utavunja urafiki naye mambo yabaki vile vile ukirudi atakwambia mkeo ana gundu hawa waganga siyo kabisa.Ni mwezi wa tatu sasa, siko poa na matatizo mengi yananiandama. Nimeenda kwa babu kuangalia akanipa full image. Best angu ndo ananimaliza. Jamaa tumejuana yapata mwaka sasa. Nimempeleka mpaka kwa bimkubwa, home kwangu anakuja all the time. Misosi tunakula pamoja, job kwangu anakuja mpaka staff wenzangu wanamjua.
Gari langu namwachia siku nzima, nikiwa kazini funguo nampa. Hela ndogo ndogo nampa. Kumbe jamaa anannipiga misumari.
Babu kanishauri nimpe makavu live. Mimi naogopa atanidhuru zaidi ya hapa. Je nifanyeje??
Wife nimemwambia kashalianzisha bifu hawaongei.
Na katika kutafuta ukweli jamaa ameanza kujishtukia. Maana Sikh hizi simpi gari, akipiga sim sipokei, akituma SMS sijibu. Jana katuma SMS anasema" Mbona hupokei sim unanikwepa, au tuna ugomvi?"
Ushauri wadau
Asipo fuata ushauri huu...ajiandae huko mbeleni ku-regret.We achana na mambo hayo ndugu utavunja urafiki naye mambo yabaki vile vile ukirudi atakwambia mkeo ana gundu hawa waganga siyo kabisa.
Kusema anajshtukia ni hali mtu yoyote angejishtukia maana anaona kabisa umechange towards him ndiyo maana anajishtukia.
There is always rising and falling, life is like ocean waves siyo kila mambo yakienda kombo usake mchawi mbona yakiwa vizuri husaki aliyekubariki?
Tunatofautiana sana mtazamo na mawazo! Kumbe kuna watu bado wanaenda kwa waganga?Ni mwezi wa tatu sasa, siko poa na matatizo mengi yananiandama. Nimeenda kwa babu kuangalia akanipa full image. Best angu ndo ananimaliza. Jamaa tumejuana yapata mwaka sasa. Nimempeleka mpaka kwa bimkubwa, home kwangu anakuja all the time. Misosi tunakula pamoja, job kwangu anakuja mpaka staff wenzangu wanamjua.
Gari langu namwachia siku nzima, nikiwa kazini funguo nampa. Hela ndogo ndogo nampa. Kumbe jamaa anannipiga misumari.
Babu kanishauri nimpe makavu live. Mimi naogopa atanidhuru zaidi ya hapa. Je nifanyeje??
Wife nimemwambia kashalianzisha bifu hawaongei.
Na katika kutafuta ukweli jamaa ameanza kujishtukia. Maana Sikh hizi simpi gari, akipiga sim sipokei, akituma SMS sijibu. Jana katuma SMS anasema" Mbona hupokei sim unanikwepa, au tuna ugomvi?"
Ushauri wadau
Asipo fuata ushauri huu...ajiandae huko mbeleni ku-regret.We achana na mambo hayo ndugu utavunja urafiki naye mambo yabaki vile vile ukirudi atakwambia mkeo ana gundu hawa waganga siyo kabisa.
Kusema anajshtukia ni hali mtu yoyote angejishtukia maana anaona kabisa umechange towards him ndiyo maana anajishtukia.
There is always rising and falling, life is like ocean waves siyo kila mambo yakienda kombo usake mchawi mbona yakiwa vizuri husaki aliyekubariki?
Binafsi sikuwa nawajua waganga,We achana na mambo hayo ndugu utavunja urafiki naye mambo yabaki vile vile ukirudi atakwambia mkeo ana gundu hawa waganga siyo kabisa.
Kusema anajshtukia ni hali mtu yoyote angejishtukia maana anaona kabisa umechange towards him ndiyo maana anajishtukia.
There is always rising and falling, life is like ocean waves siyo kila mambo yakienda kombo usake mchawi mbona yakiwa vizuri husaki aliyekubariki?
Mkuu asikukatishe tamaa uchawi upo wala hakuna mjadala hapo,ushauri wangu ni huu amka usiku wa manane peke yako swali halafu muombe mungu kwa dhati amgeuzie kibao mambo yarudi kwake..mkuu kuishi kwingi...Wewe zako umepima?
Ramli chonganishi at workNi mwezi wa tatu sasa, siko poa na matatizo mengi yananiandama. Nimeenda kwa babu kuangalia akanipa full image. Best angu ndo ananimaliza. Jamaa tumejuana yapata mwaka sasa. Nimempeleka mpaka kwa bimkubwa, home kwangu anakuja all the time. Misosi tunakula pamoja, job kwangu anakuja mpaka staff wenzangu wanamjua.
Gari langu namwachia siku nzima, nikiwa kazini funguo nampa. Hela ndogo ndogo nampa. Kumbe jamaa anannipiga misumari.
Babu kanishauri nimpe makavu live. Mimi naogopa atanidhuru zaidi ya hapa. Je nifanyeje??
Wife nimemwambia kashalianzisha bifu hawaongei.
Na katika kutafuta ukweli jamaa ameanza kujishtukia. Maana Sikh hizi simpi gari, akipiga sim sipokei, akituma SMS sijibu. Jana katuma SMS anasema" Mbona hupokei sim unanikwepa, au tuna ugomvi?"
Ushauri wadau
Kwa mtirirko wako wa mawazo hasi ikiwa na kupigiliwa msumari na kibabu unaonyesha ni jinsi gani unahitaji kusaidiwa kiakili {kisaikolojia} ili usifikie hatua mbaya zaidi.Wewe zako umepima?
IdiotKwa mtirirko wako wa mawazo hasi ikiwa na kupigiliwa msumari na kibabu unaonyesha ni jinsi gani unahitaji kusaidiwa kiakili {kisaikolojia} ili usifikie hatua mbaya zaidi.
Maana negative thought zinaenda kwa pattern.. na pia ukumbuke..'AWAZALO MJINGA NDILO LINALOMTOKEA.'