Radio imaan

Radio imaan

Status
Not open for further replies.
Naomba walau sikumoja nipate bahati ya kuhudhuria kipindi chao ili tujadiliane kwa hoja, huenda kuna vitu hawavijui ama wanavijua ila wanavikwepa kwamakusudi tu.

Kabla hujaenda huko tuwekee hapa hivyo ambavyo hawavijui tuvijue na sisi maana wengine hatuna access na hiyo redio!
 
Bado naendelea kusoma kitabu cha AYA ZA SHETANI NIKIMALIZA nitarudi kuchangia

...........kikusaidie kujua Mungu hakuwahi kutiwa 'mkononi' na mwanadamu kisha akaadhibiwa ! vinginevyo itakuwa kizaazaa siku ya mwisho, maana watu wanataka kumkamata mungu na mungu anataka kukamata watu ! :whistle::confused2:
 
Hivi mchakato wa utakatifu unatuhusu nini? NDIYO Maana tunaitwa washari Jamani, ya Mungu Apewe Mungu na ya Kaizari aachiwe mwenyewe

so Nyerere anaingia kwa Mungu au kwa Kaizari?
 
Ukiwa kijijini mbali kabisa na mji ambako hamna shule na wewe ndio angalau uliishia form II ukapata maneno mawili matatu ya Kiingereza, basi kila utakachokisema kwa Kiingereza chako cha hovyo, kwao itakuwa sawa na bora
jamessungo : I will went to town tumoro yestadei

Wanakijiji: Anaongea 'kingeleza' safi huyu jamaa msomi sana

Nachotaka ukwambia hapa ni kwamba, unayo kila sababu ya kuona weledi kwenye uchambuzi wa Radio Imaan na hiyo ni kutokana na uwezo wako wa ulinganishaji. Lkn siku ukielimika ukapata ufahamu, hakika utatapika mara utakapofungulia Radio Imaan

Hata inapofikia Mwl naye anafundisha Question Tags "Who took my book, took you?"
 
Naomba walau sikumoja nipate bahati ya kuhudhuria kipindi chao ili tujadiliane kwa hoja, huenda kuna vitu hawavijui ama wanavijua ila wanavikwepa kwamakusudi tu.
Huna huo ubavu Ms pake kakushinda kwa nguvu ya hoja sembuse jopo la mwangaza kwa jamii.Wenzako huwa hawakurupuki wanachambua hoja ndio maana hawaogopi kuongea.Mtapiga kelele but mwisho wa yote lazima UZOMBI uwatoke.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom