ndio!! nimewasikia Clouds, walikuwa wakiingolea ushindi wa chadema kwa unyonge sana, mpaka nimeshindwa kuelewa; hivi vijana wadogo, jerard, PJ na B ni watu wakushabikia CCM kiasi hicho?. Nini kinachowaunganisha na CCM??. naomba data wadaiu.. haijaniingia akilini hata ki9dogo................!!!!!!!!
It might sound so simple lakini nani ana ubavu wa kufanya kinyume na mapenzi ya mwajiri wake na akabaki salama???
Hata tunaongea hapa nyuma ya keyboard zetu hatuna ujasiri huo, its easier said than done.
Ni nani kati yetu akipewa ulaji na JK atakataa kwa vile uteuzi umefanywa na mkuu wa magamba?????
Clouds ni redio binafsi hivyo itaangalia maslahi yake zaidi kabla ya jambo jingine.
Hivi umewahi kujiuliza inakuwaje mtangazaji anasifia kampuni moja ya simu (say Tigo) kwa mbwembwe zote lakini an hour later mtangazaji huyo huyo anasifia kampuni ingine (say Vodacom).
Na kwa msingi huo kwao ni safe kujitambulisha na chama tawala, lakini wallah nakwambia endapo CDM itapewa ridhaa ya kuongoza watanzania same radio will sing praise of CDM like never before....Ila pia ni vizuri kutambua kuwa kwa nchi zetu hizi maskini wa demokrasia, ni rahisi kuwa na gazeti vocal/critical kwa watawala kuliko kuwa na radio au Tv yenye msimamo mkali kwa serikali.
Katika mazingira hayo ni vema tumhukumu mtangazaji mmoja mmoja!
Tukielewa hili wala hatutapata taabu..
Mbaya wetu ni TCB 1 ambaye anakula kodi ya wote lakini anampendelea mmoja, huyu tumwombee njaa tu....!