Radio Clouds hawajaufurahia ushindi wa CHADEMA?

"Kauli za mama Ane Kilango akiwa Kiwira zina maanisha nini anaposema watu wametoka mbali kuja kufanya fujo. Hivi hao waliotoka tukuyu na Mbeya na viunga vingine vya wilaya ya Rungwe wametoka mbali kiasi gani kuzidi yeye aliyetoka same mashariki? Hii ni aibu ya ccm"Upo sawa kabisa ninavyomuona huyu mama hana busara pia ni mlopokaji always amekua mtetea masilahi ya chama badala ya Taifa ni kama wale WACHUNGAJI MISHAHARA ambaa wanamkili kristo mdomoni lakini miyoni mwao hayupo nasi tunamuomba atujibu kutoka same mashariki hadi kiwira amefata nn? huyu ni sawa na wanafiki kama Sedeka, TBC na Clouds FM kwanai hawajui walitendalo. cha msingi ni kuwaombea 2 ili ujinga walionao kichwani kwao uwatoke.CDM NGUVU YA UMMA,CDM NGUVU YA MABADILIKO.
 
bado mzee wa mbhofu mbhofu saa kumi kwenye kipindi chake cha Jahazi wapi wasiwasi/kibonde sijui wanyaki wa wapi hao
 
wapi anna kilango,nani alimdanganya kwenda kiwira?muulize kapata nin?bado hawaamin kama chadema kiboko yao
 
wafanyakazi wengi wa tbc wameichoka sana ccm ila wanaogopa watamwaga ugali wao teh tehe tehe tehe
 
On this I beg to differ!

Hando alikatisha "jicho la ng'ombe" na akamrusha hewani live J. Nassari wakati anawashukuru wanaArumeru. Sijui mlitarajia afanye nini zaidi ya hapo.
Kwenye kusoma magazeti, karibu yote yalikuwa yanaongelea mpambano mkali kati ya CDM na CCM, it was logical kutoyasoma coz mshindi alishajulikana na hapakuwa na mpambano.
PJ ni mCCM but Hando was so much fair!
 
kombolela hilo PAMELA L NA EL walimpigia kampeni sioi aingie mjengoni et EL anasema hapo vipi hapo poa leo yuko wapi tena kusema hapo vipi?
 
usiumize kichwa sana
Jamaa yao anaejita Jack Fish Kirumba kaungikia pua
Asubuhi wanajikosha eti wanaachi bwana wakimua, wakati mwezi mzima wanampigia kampeni Fish wao
Shame up on u cloulds fm....the time is coming....liberation is comming...you will die soon!!!!
 
Slogan ya "2012, Dunia yako, chaguo lako" imeasisiwa na Clouds. Kilichotokea Arumeru na sehemu zingine ni ndivyo waionavyo dunia yao na chaguo lao. Sidnani kama Clouds watakua wamekasirika. Lakini Clouds ni entertainment radio, labda ni style yao ya ku-entertain, huwezi kujua.
 
wafanyakazi wengi wa tbc wameichoka sana ccm ila wanaogopa watamwaga ugali wao teh tehe tehe tehe

Fikra na mitazamo kama hii ndiyo imeifikisha nchi hapa ilipo. Yaani kila mtu anaangalia kwanza tumbo lake,kisha nchi baadaye!

Tukiweka maslahi ya nchi kwanza,hakika hatutakuwa tayari kujumuishwa katika mienendo inayodhalilisha na kuharibu nchi yetu.

Hivyo kamwe sitokubali sababu kama hizo katika kutetea watu wanaoharibu nchi yetu. Watu kama hao,ninawajumuisha katika kundi la waharibifu na wahujumu wa taifa.
 
MAGIC FM ni WABA...............NI WABAYA ! WANAPGA SEHEMU NYE...........NYETI! AMBAKO WATU WANASIKILI................WANASIKILIZA!

Stay Tuned, Coming soooooooooooooooon!!!
 
hapo kwenye mstari mkuu.....nashangaa sana nnapoona vijana wanachagua CCM badili ya upinzani...bse kwangu CCM maana yake ni status quo(wizi, ufisadi, majungu, fitna nk) wakati upinzani ni change.

shame on clouds, shame on TBC inayopumua kwa kodi zetu.

Pengine tukiwahukumu sana wafanyakazi wa clouds kwa ujumla wao tunakosea sana kwa sababu wamo kati yao wanaopenda changes labda wale wanaodhihirisha wazi kuwa upande huo mbaya kama kibonde. La muhimu hapa Clouds kama kampuni la kibishara linapolis zake kiutendaji, sasa ikiwa Jo na Ruge wanaona upande wenye faida kwao ni huo basi tuwaache wawe upande huo kwa faida ya leo tu kwa kampuni yao! lakini tuwashauri pia kuwa wasiangalie faida ya leo tu! waangalie Mustakabali wa kampuni yao kwa vizazi hata 10 vijavyo
 
MAGIC FM ni WABA...............NI WABAYA ! WANAPGA SEHEMU NYE...........NYETI! AMBAKO WATU WANASIKILI................WANASIKILIZA!

Stay Tuned, Coming soooooooooooooooon!!!

Matangazo kama haya yapelekwe kwanza idara yamasoko kwa faida JF.
 
usiumize kichwa sana
Jamaa yao anaejita Jack Fish Kirumba kaungikia pua
Asubuhi wanajikosha eti wanaachi bwana wakimua, wakati mwezi mzima wanampigia kampeni Fish wao
Shame up on u cloulds fm....the time is coming....liberation is comming...you will die soon!!!!

Mie naishi arusha, nawafahumu machalii kibao toka hapa a.town walioajiriwa na Clouds Inter. wanapata kipato kinawakimu wao na familia zao sasa ukisema karibuni clouds itakufa sidhani kama umefikiria vizuri! tuwashauri tu ipo siku wataelewa nini maaana ya hiyo sloo gani ya redio ya watu ina maana gani! pengine hawajui hata hiyo sloo gani yao ina maana gani! chairman wao ss hivi ni marehemu pengine hakuwaambia nini maana yake!! lol am kidingi
 
On this I beg to differ!

Hando alikatisha "jicho la ng'ombe" na akamrusha hewani live J. Nassari wakati anawashukuru wanaArumeru. Sijui mlitarajia afanye nini zaidi ya hapo.
Kwenye kusoma magazeti, karibu yote yalikuwa yanaongelea mpambano mkali kati ya CDM na CCM, it was logical kutoyasoma coz mshindi alishajulikana na hapakuwa na mpambano.
PJ ni mCCM but Hando was so much fair!

Mkuu yote hayo watu wameshasikia lakini wanawachukia hawa clouds kwa mwendo wao wakutokubalance habari
 
Siku ya nyani miti hutereza anafikiri yeye ni wa pale pale Kiwira.Pole mama sio ww ni chama chako kinakusahaulisha.

Mkuu siyo siku ya nyani bali ni siku ya kufa nyani miti yote huteleza
 
Paul James Swea amesema kuwa eti leo ni vyema,kwenye dondoo za magazeti,kwa leo kuweka siasa pembeni.Clouds ni CCM damu na ni wanafiki.Na bado!

Hivi umeshawahi kuona mtu akamsifia mgoni wake?? Kabisaaa tukuskie unampa shavu aliyekubwengea mkeo?? Msiumize vichwa wakuu, tutayaona na kuskia mengi tu.
 
Back
Top Bottom