'Radio Call' ya Kamanda Barlow yakamatwa...

'Radio Call' ya Kamanda Barlow yakamatwa...

Wakiamua hata Camera ya mwangosi inaweza kupatikana!
 
Last edited by a moderator:
duh, kumbe wanajua kufanya kazi yao. ama kweli UKITAKA KUJUA NGUVU YA MLEVI, MWAGA POMBE YAKE!!!
 
duh, kumbe wanajua kufanya kazi yao. ama kweli UKITAKA KUJUA NGUVU YA MLEVI, MWAGA POMBE YAKE!!!

Hata kama alikuwa kwenye uzinzi si dhani kama anastahili kufanyiwa hayo. Kila mmoja ajioji mwenyewe, hakuwai kufanya uzinzi? kama ndivyo anastahili Kifo? Tumwombe Mungu daima tuenende katika haki. RIP Barlow
 
Picha linaendelea mwanzo ilikuwa mawasiliano ya simu kwa sasa radiocall na funguo ya gari je ? Mwanzo viliripotiwa kupotea ! Good job policcm mkiamua mnaweza . ziko wapi kamera za Daudi mwangosi ! Wako wapi wauzaji wa madawa ya kulevya ! Wako wapi wauaji wa ndugu zetu wenye ulemavu wa ngozi !w! Ni baadhi ya mashwali najiuliza kila uchwao pasipo majibu !
 
Barlow alipata alichonunua. Wamezidi kutumia vyeo vibaya. Huu ni ushahidi kuwa wakubwa wetu ni wazinzi watupu kuanzia juu hadi chini. Heri wote wanaojihusisha kwenye mchezo huu yangewapata yalimpata Barlow. Ujinga na ulimbukeni mtupu. RIH Barlow. Siwezi kusema RIP wakati kifo chenyewe kimetokea kwenye mazingira ya kishetani. Napata kinyaa nikiona viongozi wa kidini eti wakiwaombea mapumziko mema peponi.

Ushahidi gani huo mkuu??? tatz wa-tz kwa propoganda duhh, kweli akina ponda mpo wengi!!! huo ni uchochezi, maelezo yote ya watuhumiwa hawajaeleza hayo ama ww pia ulihusika??? nenda kaisaidie polisi kama unao ushahidi na sio kutuletea masaburi hapa.
 
Jamaa anaonekana kama washamvuruga akili kwa jinsi anavyomwaga taarifa hewani!

Chezea ile perfume !!! Ukipuliziwa utasema siri zako zote ikiwa ni pamoja na yule mke wa rafiki yako uliyekuwa naye pale Guest Bubu !!!
 
Jamaa mmoja anaitwa Mganyizi, ITV imebainisha tukio zima akifukua choo kuchomoa simu na Radio call. Kaeleza mbele ya umma kuwa yeye ndie alieenda na mwenzie kutupa hivyo vitu kwenye tundu la choo baada ya kutakiwa kufanya hivyo na kiongozi wao. Jamaa anaonekana kama washamvuruga akili kwa jinsi anavyomwaga taarifa hewani!

Do we need a legal hearing, every sort of evidence has been put before the public and the accused have not been given a chance to rebut the allegations. The way people are commenting on this thread shows clearly the verdict on the suspects. The public includes the trial judge who will hear the case, assessors, state attorneys and the witnesses.

Police what a shame. Stop injustice.
 
hahahahaha nimeipenda hii, kumbe kuna kufa sana na kufa kidogo duh

Hili la kamanda linaonyesha hivyo, kumbuka yule mtalii aliyeuwawa kule mkoani Mara, wahusika walishapatikana, wale waliohusika kutorosha/kuua faru kule mbugani walishatiwa mbaloni, hao wote walikufa sana
 
Barlow alipata alichonunua. Wamezidi kutumia vyeo vibaya. Huu ni ushahidi kuwa wakubwa wetu ni wazinzi watupu kuanzia juu hadi chini. Heri wote wanaojihusisha kwenye mchezo huu yangewapata yalimpata Barlow. Ujinga na ulimbukeni mtupu. RIH Barlow. Siwezi kusema RIP wakati kifo chenyewe kimetokea kwenye mazingira ya kishetani. Napata kinyaa nikiona viongozi wa kidini eti wakiwaombea mapumziko mema peponi.
.......

Umeonaee,eti RIP Kamanda Barlow,RIP Kanumba,unafiki mtupu,nashukuru umenipa neno sahihi ambalo ni RIH
 
Usikonde mwanangu Magwangala wanapaswa kupewa RIH badala ya RIP. Use it. It is free given.
 
Mwanangu Jig saw fit huna adabu. Huwezi kunilinganisha na mdudu kama Ponda ukawa mzima. Unauliza ushahidi gani wakati unaambiwa mtu aliyekuwa naye si mkewe na walitoka kwenye kikao cha harusi over four ours. Huo muda wote walikuwa wapi na wakifanya nini kama nani kama siyo ushahidi wa kimazingira-circumstantial evidence. Acheni kutetea uchafu hata kama mnaufanya.Ni kipofu na mnafiki tu ambao hawawezi kuona ushahidi huu wa kimazingira.
 
Hata kama alikuwa kwenye uzinzi si dhani kama anastahili kufanyiwa hayo. Kila mmoja ajioji mwenyewe, hakuwai kufanya uzinzi? kama ndivyo anastahili Kifo? Tumwombe Mungu daima tuenende katika haki. RIP Barlow

Ishu sio uzinzi jeshi la polis sisi kama wana wa nchi tunapatwa mshangao jinsi ya uwezo wao wa kubaini uhalifu na wakijitamba kuwa huwezi kufanya uhalifu na usibainike.Na jisi walivyoarakisha kubaini walio muuwa BARLOW (R.I.P) huku wakishindwa kubaini waliowakata mapanga wabunge wa CHADEMA Mwanza na walio mutesa na kumuumiza DR.Ulimboka. Kwa hili naamini, UKITAKA KUONA NGUVU YA MLEVI,MWAGA POMBE YAKE.
 
Polisi wanafanya kazi sana kwa ishu zinazo wagusa camera ya Mwangosi wameamua kujimilikisha
 
Back
Top Bottom