'Radio Call' ya Kamanda Barlow yakamatwa...

'Radio Call' ya Kamanda Barlow yakamatwa...

Kamanda ameshajiondokea na maovu yake.Fanyeni yote,hasafishiki.Hatorudi tena,kamateni mpaka kima na tumbili.Barlow hakuwa msafi,kazi alifanya kwa mabavu,ujasiri wenye unafiki.

Inaonekana unajua mengi kuhusu yeye ikiwemo plan ya kumuua. Soon ukweli utadhihirika.
 
Back
Top Bottom