'Radio Call' ya Kamanda Barlow yakamatwa...

'Radio Call' ya Kamanda Barlow yakamatwa...


Kamanda Matola alisema wataunganishwa kizimbani na wengine watano Novemba 15, mwaka huu.

Alisema watuhumiwa hao wawili ... ndio waliotaja sehemu vilikokuwa vimefichwa vitu hivyo baada ya kuhojiwa.
Wawili waliosaidia polisi wataunganishwa kwenye kesi na watano ambao hawakuisaidia polisi. Nothing makes sense in Bongo. Ukikamatwa hakuna haja ya kutoa ushirikiano kwa kujibu maswali au kuandikisha ma statement mareeefu yatakayoisaidia polisi kujenga kesi dhidi yako.
 
images


Mambo yanafinyangwafinyangwa na mwishowe huyu mwanamke atatoka bila dhamana huku akijua mengi nyuma ya pazia. Kifo cha Kamanda huyu utetezi mwingi ni utelezi tu kama hatutaki kuamini kiini macho cha kiini cha kisiasa. Ye yote asiyetekeleza matakwa ya CCM ni adui namba one hata ungekuwa na cheo na nyota hadi mgongoni.

Baada ya kamanda Barlow kumwendea baba wa Milele, haya mapya yanaingia Mwanza kamata kamata ya magwanda. Je, Barlow wakati wake mbona hayakutokea?

Common sense is not common Candide scope!
 
hii nchi ina raia wajinga sijapata kuona juzi juzi tu hapa mmepigwa igizo la babu wa loliondo mmesahau sasa hivi mashabikia hili igizo jingine la polisi.
Let me put it in english for any nation like tanzania which 80% of its people are illiterates and semi-illiterates, anything deceptive works like a charm, poor,stupid and complete idiot tanzanians.
 
Hata ya marehemu Daudi Mwangosi mbona wameliweka pending?

aliyetuhumiwa kumuua mwangosu yuko rumande au mnataka ahukumiwe polisi, ulimboka aliua ndugu zetu wengi sana pale muhimbili huyu anastahili aadabishwe, yeye aliponea chupu chupu akakimbizwa nje ya nchi wakati ndugu zetu wasio na uwezo wakiteketea
 

Hope Ulimboka si mwenzao. Double standards

Acha kumsemea mtu anayeweza kuwataja walomtesa wew! kwani Ulimboka kafa? si awataje walomteka! ye hasemi wewe uko bize kumsemea! acha kujipendekeza!
 
Kamanda ameshajiondokea na maovu yake.Fanyeni yote,hasafishiki.Hatorudi tena,kamateni mpaka kima na tumbili.Barlow hakuwa msafi,kazi alifanya kwa mabavu,ujasiri wenye unafiki.
 
TUNASHUKURU KWA TAARIFA.hatahivyo kuna maswali mengi bado tunajiuliza, naomba mwanajamvi yeyote aliye na taarifa atujuze; hawa jamaa hawaaminiki na kila wanapotoa taarifa hadharani kunasalia mambo ambayo hata baada ya wanajamii kujiuliza na kuyabainisha serikali huwa hawatoi ufafanizi makini hadi wanapoumbuka. Tuana mifano mingi lakini hili la mauwaji ya wafanyabiashara wa madini na taxi drive (a.k.a. kesi ya zombe). walipoua hawa jamaa walijinadi wakijaribu kuwashawishi wananchi kuwa wao ni weledi na wanajua hata harufu za kwapa za wahalifu, na kwamba wamefanikiwa kuwa uwa wahalifu (??kazi ya polisi ni kuuwa wahalifu??) Baadae walikuja bainika kuwa polisi ilifanya uporaji na kisha kutumia ubabe dola kufukia nyayo zao mchana kweupe!.
Mauaji ya kipuuzi yametokea tena Arusha, Morogoro na lile la Iringa lililo haribu kila kitu. Maelezo ya msemaji wa jeshi la polisi yamekuwa ni ya kikasuku ya ambayo kwa bahati mbaya hayakutengenezwa kwa makini, YANADHIHIRISHA uongo dola.
!
Kila siku na kila saa ninamuomba Mola aingilie kati hatima ya nchi yetu tunayoipenda ya TANZANIA
 
Kumbe polisi wetu wanaweza kufanya kazi yao. Mbona kesi ya Dr. Ulimboka imeachwa inaning'inia?

.......

Mkuu nilisha sema JESHI LA POLISI TANZANIA alishindwi kitu wakihamua kukivalia njuga, ni ma-pro KWELI KWELI.
 
kamanda wa polisi wa mkoa fulani kanitonya kuwa marehemu barlow alikuwa anashirikiana na wauza madawa a.k.a poda a.k.a bwimbwi,.kachukua sana hela zao kama ujira wa kuwalinda lakini in the end the man wanted to turn them in,kilichofuata ni kumuua...believe that
 
kamanda wa polisi wa mkoa fulani kanitonya kuwa marehemu barlow alikuwa anashirikiana na wauza madawa a.k.a poda a.k.a bwimbwi,.kachukua sana hela zao kama ujira wa kuwalinda lakini in the end the man wanted to turn them in,kilichofuata ni kumuua...believe that

So are you telling me that he added them into Kikwete's list of drug dealers?
 
So are you telling me that he added them into Kikwete's list of drug dealers?
not only adding them to the list but he went even further...apprehending them..jk himself is on the list which is why he kept it under his pillow..legal drug money baby
 
Jamaa mmoja anaitwa Mganyizi, ITV imebainisha tukio zima akifukua choo kuchomoa simu na Radio call. Kaeleza mbele ya umma kuwa yeye ndie alieenda na mwenzie kutupa hivyo vitu kwenye tundu la choo baada ya kutakiwa kufanya hivyo na kiongozi wao. Jamaa anaonekana kama washamvuruga akili kwa jinsi anavyomwaga taarifa hewani!

Mkuu mbona jina lake la kienyeji alilandani na matendo yake - kakulia wapi HUYO!!!
 
Back
Top Bottom