Radi ya leo saa nane usiku

Radi ya leo saa nane usiku

Mkoa gani na wilaya gani hiyo radi umeisikia hiyo radi?! maana wengine hatujawahi hata kufika huko Dar Naona anafanya generalisation tu
 
Ajabu si radi ajabu ni mwanaume kuogopa radi!!
 
Mimi sikusikia kabisa hata hiyo mvua. Naamka nakuta kuna mti umeporomoka.
 
Back
Top Bottom