Lizo mkristu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2019
- 305
- 583
Mungu wangu taifa linaknsa vijana mashujaa na hii yote sababu yakula chips yai, na maeneji mwishowe tayar mnapatwa na ma BP (bila shaka mtoa mada yupo pwani asa dar) ila ukienda mikoa ya kanda ya ziwa,mikoa ya nyanda za juu kusin asee radi ni jambo la kawaida tena watu hushuhudia madhara ya radi kwa macho yao wakiwa shulen,mashamban au uko mapolin kwenye kuchunga mifugo