Rachel Dangwa ni supu ya nguru

Rachel Dangwa ni supu ya nguru

Sijawahi kumfungua kwenye simu yangu na sintafanya hivyo maana anatukana sijawahi kuona aisee mara ya kwanza nilijua wahuni wametengeneza kumbe mtu yupo na anadunda zake huko kwa watu wenye macho madogo..
naambiwa kuna binti kaibuka mwingine anatukana balaa, yule wa mwanzo ni cha mtoto akasome kwa huyo! Hebu nimtafute nione matusi anayotukana!
 
Hivi ni mtanzania huyu dada? Mbona kiswahili chake hakijanyooka na ana struggle kutamka hata majina rahisi kama Nchimbi? Halafu kwenye kuandika nako ni mtihani itakuwa kweli kasoma hizi kayumba zetu mpaka la saba? Maana najua watu wa la saba tunaandika sentence zinaeleweka vizuri, ila huyu kuna ka utata.
Mandengeleko wa Kisiju
 
Huyo mjusi wamemtia mikwaju mpaka katoka kibinda?
😂
1771783497256.jpg
 
Kwaiyo mjadala ndo umeishia hapo kwenye vitaco au? 😂😂
 
Kuna supu ya mawe
Kuna supu ya kenge
Kuna supu ya umbwa! Hii mchuzi wake hunywewa wa moto

Tanga kuna mahali panaitwa mabanda ya papa! Shughuli yake inajulikana wazi
Sasa chukua papa(sio kipapa😋) chukua nguru kisha chukua kamongo weka pamoja! Nguru ataibuka kidedea

Yuko mstari wa mbele sana kwenye amsha amsha ya siasa za sasa za mtandaoni za Tanganyika! Ila style yake ndio kiboko!

Ana mdomo mchafu ashakum anasubiri.. Ila nadhani ndio lugha wanayoendana nayo..Maana ustaarabu ulishawashinda kitambo..

Je Rachel ni 100% Gen Z fighter ama ni project ndani ya mfumo iliyoamua kupambana na yasiyopendeza?

Anapotoa yake hana simile wala mswalie Mtume.. Lakini msikilize kwa makini katikati ya maneno yake. Ana vitu ambavyo havikanushiki!

Supu ya pweza ni tamu na inanyweka hadharani ila usijaribu supu ya nguru. Watakukimbia wote! Rachel kama sio project basi ana vitu vya kipekee sana kama supu ya nguru😀
Nahisi ni project wa Msoga
 
Umesahau kavideo aha ah 😅 😂 🤣
 
Back
Top Bottom