Rachel Dangwa ni supu ya nguru

Rachel Dangwa ni supu ya nguru

Kwaiyo mjadala ndo umeishia hapo kwenye vitaco au? šŸ˜‚šŸ˜‚
 
Hivi ni mtanzania huyu dada? Mbona kiswahili chake hakijanyooka na ana struggle kutamka hata majina rahisi kama Nchimbi? Halafu kwenye kuandika nako ni mtihani itakuwa kweli kasoma hizi kayumba zetu mpaka la saba? Maana najua watu wa la saba tunaandika sentence zinaeleweka vizuri, ila huyu kuna ka utata.
 
Soma jina lake utaelewa jambo anaitwa nani?
 
1st time mzee wangu kuona video ya uyo bdada alipata aibu sana nakumbuka ilikua kwenye msiba kama ujuavyo sikuiz kwenye misiba na sherehe watu hukaa vkundi na wengine hupeluz mtandaoo.Bas bana ile anafungua tu akakutana na nzito asee watu wote macho kwake
Hahaha inzi wakamjalia
 
Back
Top Bottom