Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 359,928
- 828,568
Kuna supu ya mawe
Kuna supu ya kenge
Kuna supu ya umbwa! Hii mchuzi wake hunywewa wa moto
Tanga kuna mahali panaitwa mabanda ya papa! Shughuli yake inajulikana wazi
Sasa chukua papa(sio kipapaš) chukua nguru kisha chukua kamongo weka pamoja! Nguru ataibuka kidedea
Yuko mstari wa mbele sana kwenye amsha amsha ya siasa za sasa za mtandaoni za Tanganyika! Ila style yake ndio kiboko!
Ana mdomo mchafu ashakum anasubiri.. Ila nadhani ndio lugha wanayoendana nayo..Maana ustaarabu ulishawashinda kitambo..
Je Rachel ni 100% Gen Z fighter ama ni project ndani ya mfumo iliyoamua kupambana na yasiyopendeza?
Anapotoa yake hana simile wala mswalie Mtume.. Lakini msikilize kwa makini katikati ya maneno yake. Ana vitu ambavyo havikanushiki!
Supu ya pweza ni tamu na inanyweka hadharani ila usijaribu supu ya nguru. Watakukimbia wote! Rachel kama sio project basi ana vitu vya kipekee sana kama supu ya nguruš