Mkumbavana
Member
- Jan 24, 2012
- 79
- 22
Maiko ndiyo nani?
Mkuu, labda umalizie kabisa kuwa ajali za Bodaboda!Pole sana mkumba pia usisahau kumpa tena pole mke wake mwingine baada ya malaria ajali zimekua ndio chanzo cha kifo kingine.
Amefariki kwa ajali ya pikipiki alipokua ametoka hospitali kumpelekea mke wake chakula aliyelazwa kwa uchungu wa kujifungua,Mwaka jana alimfukuza mke wake mwingine aliyeish naye kwa miaka 3 na kumuoa mke huyu.Ni jirani yangu kijana wa miaka 25
Maiko ndiyo nani?