R.i.p madiba

R.i.p madiba

Uhembe

Member
Joined
Mar 10, 2012
Posts
97
Reaction score
36
Naomba kujuzwa... alipofariki hayati Nyerere... South Africa walishusha bendera nusu mlingoti.....?
Naombeni jibu... ?
 
Ndio halafu wakapumzika Siku 3 bila kufanya kazi
 
Mandela alikuja baada kama ya wiki 2 hivi. alinikuta uwanja wa ndege mwanza. wakampa chopa kwendea butiama
 
bendera ilishushwa nusu mlingoti na mandela alikuja baada ya muda yaan baada ya mazishi alisema hawezi kushuhudia mazishi ya mwalimu aliogopa kufa kwa mshtuko au shinikizo.ILA HILI SIO JUKWAA LAKE
 
Back
Top Bottom