CompilerZeCoder
Member
- Oct 27, 2015
- 29
- 8
Hahahahah hatareee
hahahah nimekuja speed
hahahah nimekuja speed
Halafu achaga hizo... Mimi nikajua ni yule wa Ze comedykumbe na wewe umesoma??
ni huzuni sana Joti kufariki
ni yule wa kwenye kitabu.Halafu achaga hizo... Mimi nikajua ni yule wa Ze comedy
Nipo hapa na washikaji napata moja baridi nikawadokezea jamaa yangu analia kumbe uhuniduh kwani ugomvi miss chagga ??
Hicho Sijawahi kusoma.. Ila kama naye alifariki basi apumzike pema.ni yule wa kwenye kitabu.
basi dada niombe radhi.Nipo hapa na washikaji napata moja baridi nikawadokezea jamaa yangu analia kumbe uhuni
R I P JotiHicho Sijawahi kusoma.. Ila kama naye alifariki basi apumzike pema.
Kaka naomba msamahabasi dada niombe radhi.
maana huyu nakuhakikishia kuwa kafa kweli kwenye kitabu,mpenzi wake Suzi nae anakaribia kufa.
chukua na hiiKaka naomba msamaha
Nyau kweli aliyeweka hii thread, haya basi furahi maana traffic flow na comment utakazopata leo hujawai pata tangu ujiunge na jf....nyambafu!...Joti alikuwa ni kijana mcheshi,mstaarabu,tabia yake ilibadilika na kuanza mambo ya ajabu .
kifo chake kimenihuzunisha sana,kwani sikutegemea kama angeondoka mapema hivi.
..ukimwi umeondoka na kijana huyu.
ukitaka kumjua zaidi soma kitabu cha 'kilio chetu'.Amemuambukiza Suzi ukimwi.
nimehuzunika sana,R I P JOTI.
kama umesoma kitabu hiki unazungumziaje maudhui yake?
Tafuta mhogoMoyo umenipasuka we acha tu....
Mpaka miguu imelegea.
sawa mkuuNyau kweli aliyeweka hii thread, haya basi furahi maana traffic flow na comment utakazopata leo hujawai pata tangu ujiunge na jf....nyambafu!
Hahaha.. Pepsi tu inatosha kunipa nguvu.Tafuta mhogo
Hayo ndyo madhara ya kupata chuo na kukosa mkopo, unatafuta njia yeyote ya kujiliwaza
Lime advertise kitabu chake kijanjaDole la kati linakuhusu
Tuheshimianae mda mngine...Joti alikuwa ni kijana mcheshi,mstaarabu,tabia yake ilibadilika na kuanza mambo ya ajabu .
kifo chake kimenihuzunisha sana,kwani sikutegemea kama angeondoka mapema hivi.
..ukimwi umeondoka na kijana huyu.
ukitaka kumjua zaidi soma kitabu cha 'kilio chetu'.Amemuambukiza Suzi ukimwi.
nimehuzunika sana,R I P JOTI.
kama umesoma kitabu hiki unazungumziaje maudhui yake?