R.I.P kwa dogo aitwaye Joti, tulikupenda ila ndo hivyo tena.

mbere

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
6,969
6,460
Hakika tukae tukijifunza kwamba uhai sio wetu na tuifikirie jehanam ambayo ndio kesho yetu.....
R. I. P. JOTI....
Tulikupenda sana ila Mungu kakupenda zaidi
Kuna kitabu kimoja nilikua nakisoma hapa kinaitwa "KILIO CHETU"
Sasa kuna dogo anaitwa Joti ambae ndo mhusika mkuu katika hadithi hii amekufa.
Hii hadithi inasikitisha sana aisee
 
mbere una heshima sana humu, sasa kimekupata kitu gani?

Nashawishika kuamini takwimu za vichaa, kati ya waleta mada mahiri humu jf wanne mmoja ni kichaa
 
Muwe mnaangalia mko jukwaa gani kwanza kabla ya kumhukumu mtoa mada
Hilo nalo ni tatizo mkuu ila nadhani hicho nacho ni kipimo cha kujua wale vichaa
Yaani naona kama jamaa waliosema katika watanzania 4 mmoja kichaa
Aongeze idadi ona sasa wa juu wote vichaa adi sasa mkuu mi na wewe tu ndo wazima
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom