R.I.P kwa dogo aitwaye Joti, tulikupenda ila ndo hivyo tena.

Hicho Sijawahi kusoma.. Ila kama naye alifariki basi apumzike pema.
R I P Joti
stuck_out_tongue_closed_eyes.png
 
...Joti alikuwa ni kijana mcheshi,mstaarabu,tabia yake ilibadilika na kuanza mambo ya ajabu .

kifo chake kimenihuzunisha sana,kwani sikutegemea kama angeondoka mapema hivi.
..ukimwi umeondoka na kijana huyu.
ukitaka kumjua zaidi soma kitabu cha 'kilio chetu'.Amemuambukiza Suzi ukimwi.
nimehuzunika sana,R I P JOTI.
kama umesoma kitabu hiki unazungumziaje maudhui yake?
Nyau kweli aliyeweka hii thread, haya basi furahi maana traffic flow na comment utakazopata leo hujawai pata tangu ujiunge na jf....nyambafu!
 
...Joti alikuwa ni kijana mcheshi,mstaarabu,tabia yake ilibadilika na kuanza mambo ya ajabu .

kifo chake kimenihuzunisha sana,kwani sikutegemea kama angeondoka mapema hivi.
..ukimwi umeondoka na kijana huyu.
ukitaka kumjua zaidi soma kitabu cha 'kilio chetu'.Amemuambukiza Suzi ukimwi.
nimehuzunika sana,R I P JOTI.
kama umesoma kitabu hiki unazungumziaje maudhui yake?
Tuheshimianae mda mngine
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom