RIP stay strong Brada.Ni huzuni, Ni maumivu umetuachia dada wala havielezeki. Tumeshuhudia mateso yako kitandani ukipambana na Cancer ambayo hatimaye imechukuwa uhai wako.
Daima utabaki mioyoni mwetu. Pumzika dada!
Majina yake tafadhaliNi huzuni, Ni maumivu umetuachia dada wala havielezeki. Tumeshuhudia mateso yako kitandani ukipambana na Cancer ambayo hatimaye imechukuwa uhai wako.
Daima utabaki mioyoni mwetu. Pumzika dada!