Kwani wewe shidayako ni kujua ni mwanafunzi au swala la kuuwawa acha ufalaAliyeleta taarifa wa Kwanza kabisa kwa ' Kiherehere ' chake alituaminisha kabisa kwamba alikuwa ni Mwanafunzi wa UDSM na nina wasiwasi muda si mrefu kuna Watu watakuja na kusema ni Mwanafunzi wa TEOFILO Kisanji na wengine VETA Keko na hata wa KAM College.
Hiki kifi[emoji23] kuchapia Nouma!Inaonekana umefurahia sana hiki kifi, binti alikua anasoma NIT.
usifanye moyo wako kuwa mgumu, Umeambiwa alikua amepanda daladala imfikishe makumbusho kisha apande ingine ya Bagamoyo kwa lengo la kupeleka maombi yake ya Field.Kwahiyo kumbe Field yake alikuwa anaifanyia mjini na katika Madaladala badala ya huko Bagamoyo kama ambavyo alisema? Kazi ipo hakyanani!
Mak*ma kama haya ni yakupotezea tu watakuharibia siku mkuuusifanye moyo wako kuwa mgumu, Umeambiwa alikua amepanda daladala imfikishe makumbusho kisha apande ingine ya Bagamoyo kwa lengo la kupeleka maombi yake ya Field.
Enyi Wagalatia ni nani aliwaloga?????
Chozi lazima likutokeUnakuta ndio wiki tu amekukubali msela
N.I.T NA AMEFARIKI AKIWA ANAELEKEA BAGAMOYO KUOMBA FIELD.......Japo ameshatangulia mbele ya haki ila kinachonishangaza kama siyo kunisikitisha tu ni kwamba mpaka sasa haijulikani anasoma Chuo gani na anaishi wapi isipokuwa kila mmoja anatiririka na anaserereka ajuavyo Yeye.