"R-chuga" enzi hizoo!

1962​
b00598-p04653.jpg
R-chuga imejengwa zaidi sasahivi,lakini enzi hizo palikuwa safi zaidi,population siyo kubwa kihivyo.Kuna wakati kweli taifa letu lilipoteza mwelekeo.Haya maendeleo ya sasa yangekuwa safi zaidi kama tungejali mipango miji,kweli kungekuwa kama matoni kabisa.Inaonyesha walioishi zamani walikuwa na raha zaidi.BTW naona mama wa kizungu anatolewa baru na tembo lol!
 
Maasai enzi hizo...Picha hizi ni kwa hisani ya tzaffairs.org,wana Arusha mnakumbuka?

arusha_safari_hotel_1961.jpg

arusha_1961.jpg

khee nimeona huyo mzee na baiskeli imeandikwa labour department ...hahaaaa Nyerere bana alikuwa na mawazo ya kijamaa sana
 
Huyo jamaa hapo kulia,ni mfanyakazi wa "Labor Department",nadhani wizara ya kazi.Yuko na baiskeli yake pamoja na uniform.Yuko kazini,watu walifanya kazi kwa moyo,sasa hivi ni mashangingi na perdiems tu huku hakuna kinachofanyika na umasikini unaongezeka.Kweli tumetoka mbali lakini kuna pahala tuliharibu bana!
arusha_safari_hotel_1961.jpg
 
Maasai enzi hizo...Picha hizi ni kwa hisani ya tzaffairs.org,wana Arusha mnakumbuka?


arusha_1961.jpg
Mnara wa saa
Maarufu kama raundiabauti, kipulefti... Pembeni kuna New Arusha hotel, upande mwingine kuna Shell(Kituo cha Mafuta) hapo kwenye Town Grocers kuna RTC na opposite yake kuna Posta.

Hapo Posta mitaa ya kuanzia saa kumi jioni, wengi walikuwa wakipenda kupoteza muda, licha ya kuwepo na posti iliyokuwa ikisomeka "Waiting Limit 30 Mins"
 
Hii ni picha mpya,kilichobadilika hapo ni benki,ilikuwepo Barclays,sasa ni NMB,pia labda barabara nayo imekarabatiwa zaidi...
5086-kirstys-arusha-blog-2.jpg
Mkuu Kulikuwa na National Bank of Commerce-clocktower branch na siyo Barclays benki .
 
hivi neno R-CHUGGA lilianzia wapi, nani mvumbuzi wake? nini maana yake(i know R stands for Arusha but what is chugga?)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom