Quran na uislam zilipishana wapi na kwanini??

Hujui kwamba matendo wanayoyafanya yameruhusiwa kwenye vitabu vyao wameamrishwa kuwatia hofu wasiofungamana na itikadi na imani zao lengo ikiwa kutaka kutawala ili wawanyanyase wanawake vizuri wajiolee hata wanawake hamsini hamsini
Sio kweli,ukweli ni makundi ya uhalifu,yanaanzishwa na nchi za magharibi,kwa mwamvuli wa uislamu,wakati wao sio waislamu.Unafikiri vikundi hivi vya uhalifu,vingeanzishwa na waislamu wenyewe,vingeangamizwa na silaha kali za nchi za magharibi.
 
Wengi pia tunajiuliza ukristo na biblia vimepishana wapi? Hakuna dhehebu hata moja la kikristo linalofuata biblia kwa ukamilifu wake. Na yapo madhehebu mengi ya kikristo yanayofundisha na kusisitiza mambo ambayo biblia inayapinga.
 
Ni Swali Najiuliza Ni Nchi Gan Ya Dini Yetu Hii Tukufu Cjui Kama Naweza Gugo Nikapata Nchi Ya Dini Hii Halafu Ikose Vita Labda Zanzbar Ambako Kuna Muungano Na Tanganyika Ila Dunia Nzima Hakuna
Nchi nyingi za kiislamu zina Amani:
1:Oman
2:Dubai
3:Saudia
4:Qatar
5:Dubai
6:Bahrain
7:Abudhabi
8:Kuwait
9:Brunei,Darusalaam
10:nk
Wakati nchi za Biblia vurugu tupu
1:Sudani kusini
2:Kongo
3:Rwanda
4:Burundi
5.Ireland ya Kaskazini
6.Liberia
7.Burma.
8.nk
 
USIHUUKUMU UISLAM KWA MATENDO YA WAISLAM.
UISLAM NI DINI ILIYO KAMILIKA.ILA WAISLAM HAWAJAKAMILIKA NDO MAANA KUNA MAKOSA NA KUOMBA MSAMAHA.
PEPO NA MOTO.
UISLAM SIO JINA ETI KISA NAITWA JUMA BASI NITAKWENDA PEPONI.ILA NI KWELI WAISLAM TUMEACHA MAFUNDISHO YA QURAN.TUKUMBUSHANE.

Sent using Jamii Forums mobile app
jibu hili hpa umeshajibiwa na kwa kuongezea uislam ni aman neno salaam katika islam lina maana ya aman kama kuna mtu unaona anaenda kinyume usiupake matope uislam kwani si kuna wanaume wanana tombw*' kwanini hamuwaiti wanaume mkawa sawa mkawaita mashoga


fkilia kabla ya kupost @mugabeone
 
Hujui kwamba matendo wanayoyafanya yameruhusiwa kwenye vitabu vyao wameamrishwa kuwatia hofu wasiofungamana na itikadi na imani zao lengo ikiwa kutaka kutawala ili wawanyanyase wanawake vizuri wajiolee hata wanawake hamsini hamsini
Moja ya mikajati yao nikuzaana sana ili waweze kutawala wakristo wanasema wakristo huzaa watoto wawili tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiua kwa kupigania dini unapata haki ya bikra 72 kule juu mbinguni mara baada ya kifo chako kwa wale wafia dini kama hao vijana wa makundi ya kiharamia jamii ya bokoharamu

Huko mbinguni kuna mito ya pombe za kila aina, hivyo vilivyo haramu huku duniani mbinguni ni halali kabisa hii ni kwa mujibu ya Qur'an kitabu kitakatifu
Qur'an sio takatifu Bali ni tukufu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Juzi hapa kanisa katoliki limekataa kumzika mtu na wameeleza kwanini lakini najiuliza laiti wakristo wote wangekuwa na taratibu kama kanisa katoliki au kungekuwa na kanisa katoliki tu je hali ingekuwaje kwa marehemu kwa maana angeachwa tu bila kuzikwa?

Najiuliza ni wapi wakristo walipoacha mafundisho ya biblia?
 
Back
Top Bottom