Quran na uislam zilipishana wapi na kwanini??

Asikudanganye, hilo andiko lilitoka Wakati wa vita maalum kwa kipindi maalum sio leo.

Unaweza kusema nilichodanganya ni nini? maana mie nimeweka tu hilo andiko bila hata kutia neno lolote ila wewe unasema nadanganya.
 
bora kutapeliwa kuliko, kufanya uasi, kumwaga damu, kubaka, na maovu kedekede kama hayo..!
Lengo si aina ya uovu isome vizuri mada,nachouliza je hao wanaotapeliwa wameshindwa kusoma biblia na kuielewa?

Halafu nenda kasome Hesabu 31:17-18 halafu uje tena tujadili.
 
aisee watu hamuwezi jadili bila kutukanana imani za wenzenu? wengine mnachoropoa mstari tena ukiwa nusu ili kuthibitisha kauli zenu ambazo hata si za kweli
 
Wapendwa mwanajf, nawasalimia kwa heshima zote!

Wote tuliopo hai duniani leo hii Dini zote tulizikuta zipo baadaye tukaaminishwa na kuamini tulichoambiwa!

Thread hii haitafuti dini IPI bora wala dhehebu lipi bora kuliko jingine.
Quran ni maandiko matakatifu katika imani za kiislam ambacho kuna machache ya yaliyomo katika Agano la kale ndani ya bibilia yamo pia katika quran.

Quran imeandikwa vizuri tu lakini lugha iliyotumika huenda haieleweki kwa wasomaji wengi ndio maana waislam walio wengi ni wepesi sana kushawishika hata kutenda maovu ambayo hata kitabu cha quran hakijayagusia hata chembe.

Jambo hili limekuwa nikinifanye ni waze sana kila mara kwa nini waislam wengi hushawishika kirahisi kutenda maovu hata mara tu wakitoka nje ya jengo la Ibaada?

Kwa nini makundi ya kiharifu yamejaza vijana wengi wa kiislam?
Kwa nini Boko haram hutembea na quran huku wakiendesha mauji holela?
Kwanini kundi la alshabab, Islamic state, alqaida, Abboosafayy, Alnusrrah nk wote hutembea na quran huku wakiendesha mauaji ya holela?
Kitu gani huwafanya waislam watofautiane na kitabu kitakatifu hicho cha Quran?

Tupia jicho mataifa yote ya kiislam utakuta mengi yana vurugu nyingi lakini Quran IPO na husomwa kila Siku.

Je quran imeelekeza kutopenda amani? Au viongozi walioenda masomo zaidi ya kuifahamu Quran ndio wapotoshaji wakubwa kwa waumini waumini wao?
Karibuni tuelimishane vizuri kwa kuepuka lugha chafu ili tusimkosee Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa mwislam ujue kwa nini hivyo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
USIHUUKUMU UISLAM KWA MATENDO YA WAISLAM.
UISLAM NI DINI ILIYO KAMILIKA.ILA WAISLAM HAWAJAKAMILIKA NDO MAANA KUNA MAKOSA NA KUOMBA MSAMAHA.
PEPO NA MOTO.
UISLAM SIO JINA ETI KISA NAITWA JUMA BASI NITAKWENDA PEPONI.ILA NI KWELI WAISLAM TUMEACHA MAFUNDISHO YA QURAN.TUKUMBUSHANE.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na hii si tu kwa waislam hata kwa waKisto pia mambo ni kama haya haya tu isipoku kwa waislamu inaangukia kwenye ushawishi wa kufanya vurugu. Huenda wanahisi wanaonewa na jamii zingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna dini inayoamrisha MTU atende maovu.MTU yoyote anaetenda maovu hiyo bado hajamjua muumba wake.Bosi wako kwenye ajira mbona unamtii kwa adabu zote ni kwa sababu anakulipa mshahara na unatambua mamlaka yake juu yako.Vikundi vya wanamgambo wa kiislamu Ulivyotaja vimetengenezwa na mashirika ya kijasusi ya nchi kubwa ili kutimiza malengo yao dhidi ya uislamu na nchi za kiislamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
1. Je, hivyo vikundi vya kijasusi ni vya kiislamu?
2. Kama hapana kwann wanakubali kushawishiwa nao ikiwa dini ya uislamu haikubali kuungana na watu wasio waislamu?
Unajua watu wengi wamejisahau sana. Watu weng kwa sasa hulinganisha Maovu ya waumini na din yenyewe kitu ambacho siyo kweli. Dini ina watu, katika dini kuna vikundi vidogo vidogo vimeanzishwa hili kuchafua dini.
Je, Uislamu ni ugaidi?
Je, Ukiristo ni ushoga?
Katika maswali haya utapata jibu hapana.
 
Ukiua kwa kupigania dini unapata haki ya bikra 72 kule juu mbinguni mara baada ya kifo chako kwa wale wafia dini kama hao vijana wa makundi ya kiharamia jamii ya bokoharamu

Huko mbinguni kuna mito ya pombe za kila aina, hivyo vilivyo haramu huku duniani mbinguni ni halali kabisa hii ni kwa mujibu ya Qur'an kitabu kitakatifu
Mh mbona hilo kwangu ni jipya sana? Maana ninavyojua mimi kwa mujibu wa maandiko Matakatifu yaani Biblia, kule hakuna kuoa wala kuolewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama upo sincere katika kutafuta jibu ama elimu kuhusu hilo nitakujibu.

Quran ni Kitabu kitukufu alichopewa Mtume Muhammad ili uwe muongozo kwa Waislamu. Quran imekamilika. Hakina makosa.

Quran is what we are supposed to run to at any point in our lives.

Tukiwa sad.... Tunakutana na aya unasema Do Not Be Sad
Tukiwa happy tunakutana na ingine inayotufundisha kumshukuru kwa neema za Mola wetu
Ulitaka jibu lolote utalipata kwenye Quran.

Kwa sababu ya human nature na kutokuwa tumekamilika, ndo hapo tunapokuwa Waislamu lakini imani zetu hazijakamilika.

Tunapokuwa tunasengenya.... tunatukana...tunagombana... ndo hapo inapobidi tukumbushane.Tusijisahau sana.

Tushikamane. Tuongozane. Mkono kwa mkono mpaka Jannah.

Angalizo: Boko Haram na vikundi vingine wanaojiita Waislamu sio miongoni mwetu.
Jibu hili ni zuri saana na nimelipenda kama nini!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shika neno tenda neno nabii Eria wa kizazi cha NNE Ali paa bagamoyo,, Hehehehee eti wakristo walikuja kazini kwangu kuni taka niingie kwenye iyo dini ya kizazi cha NNE nabii Mtanzania aliyepaa bagamoyo.. Dah nduguzangu wa Tanzania tubadilike tunapoelekea sipo wenzetu wazungu wakorea, Japan wanagundua technology mpya kila siku sisi tunakazana na Makanisa yasiyo na tija..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiki ni kitabu (Quran)kisicho na shaka ndani yake na nimuongozo Kwa wamchwao M/mungu ,Quran 3:1
 
Kitabu cha Mungu hakitakiwi kuwa hakieleweki.

Ukiona kitabu hakieleweki ujue hicho si cha mungu na pengine huyo Mungu hayupo kabisa.
 
Back
Top Bottom