Qur'an imewadharau sana waarabu waliohai

Except yourself Quran 86:16 - Jua huwa linazama kwenye chemchem ya matope hahahaha - ulisha sema huamini
And almost kila Aya ya Quran ukiwa na akili timamu huwezi amini only if your muslim.
until he reached the setting ˹point˺ of the sun, which appeared to him to be setting in a spring of murky water, where he found some people. We said, “O Ⱬul-Qarnain! Either punish them or treat them kindly.”
Aya hiyo ilikuwa inasimulia msafara wa waja wema waliofika mpaka maeneo ya China na Urusi na katika kufahamisha ndipo ikatumia maneno hayo kiasi cha uelewa wa watu muda Qur'an inateremshwa.
Hilo ni dogo sana katika kulitaja jua ndani ya Qur'an.
Kama huelewi kiingereza neno lililotumika appeared lina maana ya lilionekana kama kwamba.....Hiyo ni lugha ya ufahamisho ambayo hutumika na mjuzi zaidi kumuelimisha ambaye bado hajaelewa ili aweze kung'amua.
Qur'an ambayo imetaja mpaka jua kwamba lina mwendo wake kuzunguka sehemu fulani kitu ambacho wazungu na wakristo hawakuwahi kukijiua isipokuwa miaka ya karibuni.Qur'an hiyo ije na fikra kama yako kweli kuwa jua linatua kwenye matope.
Mnapoteza muda bure kuleta shutuma za kijinga.Angalia aya ya 38 surat Yaasin
وَالشَّمْسُ تَجْرِي لِمُسْتَقَرٍّ لَّهَا ۚ ذَٰلِكَ تَقْدِيرُ الْعَزِيزِ الْعَلِيمِ​
Na jua linakwenda kwa kiwango chake. Hayo ni makadirio ya Mwenye nguvu, Mwenye kujua.
 
Mnapoteza muda bure kuleta shutuma za kijinga.
Ndipo muhammad anawaweka sawa sio perception ni halisi Jua linazama kwenye maji , tena ni chemchem inaitwa hamiyah

  • Imesimuliwa Abu Dharr:
    Nilikuwa nimekaa nyuma ya Mjumbe wa Mwenyezi Mungu (ﷺ) ambaye alikuwa akipanda punda wakati jua linachomoza. Akauliza: Je! Unajua jua linazama wapi? Nilimjibu: Mwenyezi Mungu na Mtume wake wanajua bora. Alisema: linazama katika chemchemi ya maji ya joto (Hamiyah).
    Grade Sahih
 
Hadith ambayo ni sahihi kweli basi huwa si maneno ya Mtume saw mwenyewe bali ni wahyi kutoka kwa Allah sw na maneno kama hayo huwa yana maana pana ambazo machache tumeyafahamu na mengi yatafahamika baada ya sisi kuondoka.
Sasa tukuulize wewe unayetumia akili ya ulevi wa gongo,jee hiyo chem chem ya maji ya joto Hamiyah iko wapi katika hii dunia
 
Aya hiyo ilikuwa inasimulia msafara wa waja wema waliofika mpaka maeneo ya China na Urusi na katika kufahamisha ndipo ikatumia maneno hayo kiasi cha uelewa wa watu muda Qur'an inateremshwa.
Hilo ni dogo sana katika kulitaja jua ndani ya Qur'an.
Wewe huna hata uwezo wa kujibu au kupinga maandishi yenye nukuu za uislam.. You're just a Naive person katika uislam. Ukiona nimeweka andiko humu ni bora ukimbie maana nitakuchambulia hadi utumbo wa Quran ulivyo. najua umeshaenda muuliza shehe ubwabwa asiyejua kitu ukaleta bandiko kama la mtoto wa la saba...

Hivi Unajumua huyo unayemsema kuwa ni Alexander The Great Mbabe wa Vita from Macedonia ya kale? Allah ujinga wake akamuita Dhul Qarnayn - na Huu Mtego Mohammad alitegwa maana alikuwa akijifanya mjuaji sana. Wayahudi walimfuata wakamuambia Tueleze kuhusu Dhul Qarnayn akawaambia njoeni Kesho, Kesho yake ilipofika akasema Allah kaniambia ni Mtume wake Akaweka na aya kabisa kuelezea story kamili tena vitabu vilikuwepo vya hiyo story before waarabu walicheka sana maana story wanazijua - Kichekesho Alexander the Great alikuwa ni Shoga sasa Mtume wa Allah ni Shoga?

Allah alishindwa fahamu jina la Alexander the Great hadi nae akatumia same name la Kofia ya Alexander ilikuwa na pembe mbili kichwani sasa Mtume wa Allah anaitwa Pembe mbili? na Tokea lini Pagani Alexander akawa anamfahamu Allah wakati Alexander the great alizaliwa Macedonia na Alikuwa alijiita mwenyewe kuwa ni Son of Zeus, maana ni bloodline ya Hercules, Wana historia wanasema ni Son of God Amun ambaye ndio kwa sasa Mkisema Amen mjue mnazungumzia Amun Goddess from Egypt
1748976403023.png

1748975938285.png

Story ya Dhul Mtume wenu akambebesha Allah.. kisha vichekesho vikaanza vya Watu alikutana nao Dhul katika safari zake za kutaka kupigana vita na watu wa dunia nzima.. Katika Story za kipumbavu katika Quran hii ya Dhul imemuweka Allah katika wapumbavu waliwahi hadithiwa katika historia ya Dunia hii..

Watu wa Gog magog walikuwa ni wajinga hata Nguo hawavai probably ni Africa au Near India maana weusi fulani hivi na kuishi bila nguo means unaishi eneo lenye Joto, Sasa hao watu wajinga wasiojua hata kuongea waliweza kumuambia Alexander awajengee Dam ndio ujue Allah ni Mjinga watu hawajui kuongea kisha wamuombe mtume wa Allah awajengee kitu cha ki injinia Dam? and chini ya Dam kuna aina ya watu wametengenishwa na ukuta mkubwa wanachimba shimbo ardhini kuja juu tokea miaka hiyo hadi leo eti wakilala Allah anajenga tena hivyo hivyo hadi leo sababu kuu ya allah kujenga eti hawasemi Inshallah wakati hao watu wa Go Magog sio waislam wala hawamjui Allah. ni ufinyu wa Akili wa Mohammad. Watu wa Gog Magog wanamasikio makubwa upande mmoja yaani wanaweza jifunika kama shuka- Satelite zote za Dunia hii hazijafanikiwa kuuona huo Ukuta unaotenganisha binadamu na watu wa Gog Magog - Original Story Alexander the great alifika mpakani mwa India kisha akaamua kurejea zake.
Kama huelewi kiingereza neno lililotumika appeared lina maana ya lilionekana kama kwamba.....Hiyo ni lugha ya ufahamisho ambayo hutumika na mjuzi zaidi kumuelimisha ambaye bado hajaelewa ili aweze kung'amua.
Upo Sawa Sijui Kiingereza, ila Kiarabu je na Mashehe ubwabwa wapotovu wenzako wanasemaje kwani?
Quran 18:86
Google Translation Inasema hivi kwa Kiswahili:-

Hata alipo fika machweo ya jua alilikuta linatua kwenye chemchem iliyo matope, na akakuta karibu yake watu. Tukasema: Ewe Dhul-Qarnayn, ima uwaadhibu au uwachunge vizuri.
Kiarabu - حَتَّىٰٓ إِذَا بَلَغَ مَغْرِبَ ٱلشَّمْسِ وَجَدَهَا تَغْرُبُ فِى عَيْنٍ حَمِئَةٍۢ وَوَجَدَ عِندَهَا قَوْمًۭا ۗ قُلْنَا يَـٰذَا ٱلْقَرْنَيْنِ إِمَّآ أَن تُعَذِّبَ وَإِمَّآ أَن تَتَّخِذَ فِيهِمْ حُسْنًۭا ٨٦
hatta 'iidha balagh maghrib ٱlshshams wajadaha taghrub fia eayn hamiatinۢ wawajad eindaha qawmanۭa ۗ qulna yadha ٱlqarnayn 'imma 'an tueadhdhib wa'imma 'an tattakhidh fihim husnanۭa 86

Quran Multilingua Kiswahili :- 86 Hata alipo fika machwea-jua aliliona linatua katika checmchem yenye matope meusi. Na hapo akawakuta watu. Tukasema: Ewe Dhul-Qarnaini! Ama uwaadhibu au watwae kwa wema.

Ukutaka kujua Mashehe wa Waislam ni waongo utawapata kwenye tafsir tu hahaha Msome huyu Shehe mjinga anavyodanganya waislam yaani unaficha upumbavu wa Allah na Mudy? maana Quran mnadai anayeongea ni Allah unaweza jiuliza Allah nae anaona kama sisi tunavyoona tukiwa chini... wakati Jua lipo ni Dunia tu ndio inazunguka.

*Mpaka alipofika Dhulqarnain upande wa jua la kuchwa, alilikuta jua kwa vile alivyoliona kama kwamba linakuchwa ndani ya chemchemu ya maji moto yenye udongo mweusi, na akawakuta watu upande huo wa jua la kuchwa. Tulisema, «Ewe Dhulqarnain! Ima uwaadhibu kwa kuwaua au kwa linginelo, iwapo hawatakubali upweke wa Mwenyezi Mungu au uwatendee wema uwafundishe uongofu na uwaonyeshe usawa.»
— Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis

Fahamu kuwa
unadhani mimi kazi yangu ni kuhadaa watu au kusambaza uongo? nachoongea ni kweli and humu na help muslims waliondanganywa sana at least watoto wao au wajukuu wakija soma wajue wazazi wao walikuwa wanadangayika na upumbavu ulipitiliza.. Mohammad alipingwa hadi akaambua kuita Islam yaani Surrender or Die lazima uamini kilazima.( Aslam Taslam )na Wayahudi na Wakristo walilipa Kodi Jazyah ili waendelee kuamini Yahweh
Qur'an ambayo imetaja mpaka jua kwamba lina mwendo wake kuzunguka sehemu fulani kitu ambacho wazungu na wakristo hawakuwahi kukijiua isipokuwa miaka ya karibuni.Qur'an hiyo ije na fikra kama yako kweli kuwa jua linatua kwenye matope.
Mnapoteza muda bure kuleta shutuma za kijinga.Angalia aya ya 38 surat Yaasin
وَالشَّمْسُ تَجْرِي لِمُسْتَقَرٍّ لَّهَا ۚ ذَٰلِكَ تَقْدِيرُ الْعَزِيزِ الْعَلِيمِ​
Na jua linakwenda kwa kiwango chake. Hayo ni makadirio ya Mwenye nguvu, Mwenye kujua.
Hahahahahahahaha Jua linazunguka? Allah kasoma vidudu wapi jamani eeenh JF Njooni mcheke Allah anasema Jua linazunguka hahahahahahahahahaha Islam is joke kwa hili hata Adiosamigo atakucheka wewe na Allah Pia hahahahahaha

Eti Jua linazunguka na lina Mwendo hahahaha upi ni ule kama wa yale mabus ya mwendo kasi hahahaha Allah is a joke for Us nakuomba uendelee kutuletea vichekesho vingine.. naomba pia kile kichekesho cha Mwezi hauwezi kuonekana mchana na Jua kuonekana usiku tucheke tena ukijibu hahahaha Surah Yasin 40.

EVERY CHAPTER AND VERSE IN QURAN IS A JOKES TO US
 
Attachments

  • 1748976368500.png
    1748976368500.png
    1.4 MB · Views: 15
Hadith ambayo ni sahihi kweli basi huwa si maneno ya Mtume saw mwenyewe bali ni wahyi kutoka kwa Allah sw na maneno kama hayo huwa yana maana pana ambazo machache tumeyafahamu na mengi yatafahamika baada ya sisi kuondoka.
Sasa tukuulize wewe unayetumia akili ya ulevi wa gongo,jee hiyo chem chem ya maji ya joto Hamiyah iko wapi katika hii dunia
Himayah hahaha Allah and Messenger knows best - Shirki hii Alllah + Mohammad wana same Knowledge =

Hivi hayo Matusi watambua unayemtukana ni Allah na Mohammad? maana wao ndio walisema Jua linazama kwenye Matope ya Moto yaani Dhul alifka eneo ambalo jua ndio linazama kwenye chemchem... Tuseme Ilikuwa miaka ya Zamani Mohammad yes hakuelewa sayansi kuwa Jua lipo tu eneo lake ila Dunia ndio inazunguka jua.. swali je na Allah pia analiona Jua kama sisi tunavyoliona? au nae anaishi Duniani like us pale Mecca?

Maana hata Adm alipoumbwa alimuambia Allah finish me before sunset cha kushangaza Adam kaumbiwa Alipo Allah seven heaven je na huko seven Heaven kuna Jua? bado Najiuliza Hawa kaumbwaje nae according to Muslims? can you please elezea for knowledge tu
 
jee hiyo chem chem ya maji ya joto Hamiyah iko wapi katika hii dunia
Imesimuliwa Abu Dharr:
Wakati mmoja nilikuwa na Nabii (ﷺ) msikitini wakati wa jua. Nabii (ﷺ) akasema, "Ewe Abu Dharr! Je! Unajua jua linatua wapi?" Nilimjibu, "Mwenyezi Mungu na Mtume wake wanajua vyema." Alisema, "linakwenda na kusujudu chini ya kiti cha enzi cha Allah,

Na chini ya kiti Cha Allah kuna maji

The Prophet (ﷺ) said, "The Right (Hand) of Allah Is full, and (Its fullness) is not affected by the continuous spending night and day. Do you see what He has spent since He created the Heavens and the Earth? Yet all that has not decreased what is in His Right Hand. His Throne is over the water and in His other Hand is the Bounty or the Power to bring about death, and He raises some people and brings others down." (See Hadith No. 508) Sahih al-Bukhari 7419

Hakuna njia ya kuepuka jua kuzama kwenye maji
 
Miongoni mwa miujiza ya Qur'an na kwamba ni kitabu chenye muongozo kwa wanadamu wote ni kule kutoonewa haya waarabu ambao kitabu hicho kimeteremshwa kwa lugha yao.

Kuonesha kuwa ni maneno ya Allah aliyeumba ulimwengu wote basi hata Mtume Muhammad rehma ziwe juu yake haikumoenea haya wala haikumpa fursa akaingiza lolote la kwake.Mfano maarrufu ni pale siku moja alipokuwa ameshughulika na kuwalingania matajiri na watu maarufu wa Makka ili waingie kwenye Uislamu.Muda huo huo akatokea maskini mmoja ambaye ni kipofu akaomba naye afahamishwe jambo.Mtume akakunja uso kuona anamkera katika muda muhimu wa kuzungumza na watukufu wa Makka.Sura nzima ikashuka kumkemea kwa kitendo chake hicho.Sura hiyo akaendelea kuisoma na alipokufa imebaki hivyo hivyo.
Mwanamke aliyetajwa ni mmbora ni mama yake Yesu as na wala mama yake mwenyewe wala mtoto wake wa kike kipenzi wala mke wake yeyote yule.
Qur'an kujulisha kuwa ni ya watu wote ina matamko mengi sana yanayowaita ENYI WATU kwa ajili ya wachina ,wajapani,wahindi na wote wengine ambao hawajinasibishi na vitabu kutoka kwa Allah.

Vile vile kwa ajili ya kuwaita kwenye uislamu ina matamko yanayowaita wakristo na mayahudi kuachana na upotovu na kufuata mafundisho ambayo yameboreshwa yaliyo kwenye uislamu.Matamko hayo ni kama vile ENYI WATU WA KITABU!

Upande wa waarabu wale waliokuwa kabla ya Mtume saw na wale alioishi nao hawakuachwa kutajwa kwa maovu waliyokuwa wakiyatenda.yote hayo ni kuonesha Qur'an ni kwa ajili ya muongozo kwa wote.

Waarabu walio hai miaka hii nao wamepewa vidonge vyao kwenye aya nyingi za Qur'an,baadhi yake ni kwenye surat Towba.Tuone aya mbili tu kati ya hizo, ya 19 na 20
‏
أَجَعَلْتُمْ سِقَايَةَ الْحَاجِّ وَعِمَارَةَ الْمَسْجِدِ الْحَرَامِ كَمَنْ آمَنَ بِاللَّهِ وَالْيَوْمِ الْآخِرِ وَجَاهَدَ فِي سَبِيلِ اللَّهِ ۚ لَا يَسْتَوُونَ عِندَ اللَّهِ ۗ وَاللَّهُ لَا يَهْدِي الْقَوْمَ الظَّالِمِينَ

١٩﴾‏ الَّذِينَ آمَنُوا وَهَاجَرُوا وَجَاهَدُوا فِي سَبِيلِ اللَّهِ بِأَمْوَالِهِمْ وَأَنفُسِهِمْ أَعْظَمُ دَرَجَةً عِندَ اللَّهِ ۚ وَأُولَٰئِكَ هُمُ الْفَائِزُونَ ‎﴿
​
Je, mnafanya kuwanywesha maji Mahujaji na kuamirisha Msikiti Mtakatifu ni sawa na mwenye kumuamini Mwenyezi Mungu, na Siku ya Mwisho, na akapigana Jihadi katika Njia ya Mwenyezi Mungu? Hawawi sawa mbele ya Mwenyezi Mungu. Na Mwenyezi Mungu hawaongoi watu madhaalimu.19
Wale walio amini, na wakahama, na wakapigana Jihadi katika Njia ya Mwenyezi Mungu kwa mali yao na nafsi zao, hao wana cheo kikubwa zaidi mbele ya Mwenyezi Mungu. Na hao ndio wenye kufuzu.20

Wanaodharauliwa hapo ni wale ambao wanaujenga msikiti wa Makka (Alkaaba) na kuuwekea teknolojia za kisasa kila mwaka na kuwakirimu vya kutosha mahujaji.Wanawapa maji ya zam zam mpaka mengine wanabeba makwao.Baada ya hapo wanaamini ndio wamemaliza ibada na kutenda wema katika dunia na wanabweteka kusubiri msimu ujao..

Wanaodharaulika ni wale ambao wanaojaza malori eneo la Rafah na wakawacha bidhaa ziharibike huku wanaohitaji na wanaokufa kwa njaa wapo mita chache tu kutoka hapo,

Wakudharauliwa na walimwengu wote ni wale wanaonunua silaha na kuzinduka kwenye maghala bila kuzitumia kupigana na yule anayeuwa ndugu zao masafa mafupi tu kuliko wanapoishi.Hao hao ambao wanatoa zawadi ya ndege na mapesa kwa yule anayeongoza kuua ndugu zao wa kiimani.
Eti ilishushwa 😀😀😀
 
Wewe huna hata uwezo wa kujibu au kupinga maandishi yenye nukuu za uislam.. You're just a Naive person katika uislam. Ukiona nimeweka andiko humu ni bora ukimbie maana nitakuchambulia hadi utumbo wa Quran ulivyo. najua umeshaenda muuliza shehe ubwabwa asiyejua kitu ukaleta bandiko kama la mtoto wa la saba...

Hivi Unajumua huyo unayemsema kuwa ni Alexander The Great Mbabe wa Vita from Macedonia ya kale? Allah ujinga wake akamuita Dhul Qarnayn - na Huu Mtego Mohammad alitegwa maana alikuwa akijifanya mjuaji sana. Wayahudi walimfuata wakamuambia Tueleze kuhusu Dhul Qarnayn akawaambia njoeni Kesho, Kesho yake ilipofika akasema Allah kaniambia ni Mtume wake Akaweka na aya kabisa kuelezea story kamili tena vitabu vilikuwepo vya hiyo story before waarabu walicheka sana maana story wanazijua - Kichekesho Alexander the Great alikuwa ni Shoga sasa Mtume wa Allah ni Shoga?

Allah alishindwa fahamu jina la Alexander the Great hadi nae akatumia same name la Kofia ya Alexander ilikuwa na pembe mbili kichwani sasa Mtume wa Allah anaitwa Pembe mbili? na Tokea lini Pagani Alexander akawa anamfahamu Allah wakati Alexander the great alizaliwa Macedonia na Alikuwa alijiita mwenyewe kuwa ni Son of Zeus, maana ni bloodline ya Hercules, Wana historia wanasema ni Son of God Amun ambaye ndio kwa sasa Mkisema Amen mjue mnazungumzia Amun Goddess from Egypt
View attachment 3355007

View attachment 3354977

Story ya Dhul Mtume wenu akambebesha Allah.. kisha vichekesho vikaanza vya Watu alikutana nao Dhul katika safari zake za kutaka kupigana vita na watu wa dunia nzima.. Katika Story za kipumbavu katika Quran hii ya Dhul imemuweka Allah katika wapumbavu waliwahi hadithiwa katika historia ya Dunia hii..

Watu wa Gog magog walikuwa ni wajinga hata Nguo hawavai probably ni Africa au Near India maana weusi fulani hivi na kuishi bila nguo means unaishi eneo lenye Joto, Sasa hao watu wajinga wasiojua hata kuongea waliweza kumuambia Alexander awajengee Dam ndio ujue Allah ni Mjinga watu hawajui kuongea kisha wamuombe mtume wa Allah awajengee kitu cha ki injinia Dam? and chini ya Dam kuna aina ya watu wametengenishwa na ukuta mkubwa wanachimba shimbo ardhini kuja juu tokea miaka hiyo hadi leo eti wakilala Allah anajenga tena hivyo hivyo hadi leo sababu kuu ya allah kujenga eti hawasemi Inshallah wakati hao watu wa Go Magog sio waislam wala hawamjui Allah. ni ufinyu wa Akili wa Mohammad. Watu wa Gog Magog wanamasikio makubwa upande mmoja yaani wanaweza jifunika kama shuka- Satelite zote za Dunia hii hazijafanikiwa kuuona huo Ukuta unaotenganisha binadamu na watu wa Gog Magog - Original Story Alexander the great alifika mpakani mwa India kisha akaamua kurejea zake.

Upo Sawa Sijui Kiingereza, ila Kiarabu je na Mashehe ubwabwa wapotovu wenzako wanasemaje kwani?
Quran 18:86
Google Translation Inasema hivi kwa Kiswahili:-

Hata alipo fika machweo ya jua alilikuta linatua kwenye chemchem iliyo matope, na akakuta karibu yake watu. Tukasema: Ewe Dhul-Qarnayn, ima uwaadhibu au uwachunge vizuri.
Kiarabu - حَتَّىٰٓ إِذَا بَلَغَ مَغْرِبَ ٱلشَّمْسِ وَجَدَهَا تَغْرُبُ فِى عَيْنٍ حَمِئَةٍۢ وَوَجَدَ عِندَهَا قَوْمًۭا ۗ قُلْنَا يَـٰذَا ٱلْقَرْنَيْنِ إِمَّآ أَن تُعَذِّبَ وَإِمَّآ أَن تَتَّخِذَ فِيهِمْ حُسْنًۭا ٨٦
hatta 'iidha balagh maghrib ٱlshshams wajadaha taghrub fia eayn hamiatinۢ wawajad eindaha qawmanۭa ۗ qulna yadha ٱlqarnayn 'imma 'an tueadhdhib wa'imma 'an tattakhidh fihim husnanۭa 86

Quran Multilingua Kiswahili :- 86 Hata alipo fika machwea-jua aliliona linatua katika checmchem yenye matope meusi. Na hapo akawakuta watu. Tukasema: Ewe Dhul-Qarnaini! Ama uwaadhibu au watwae kwa wema.

Ukutaka kujua Mashehe wa Waislam ni waongo utawapata kwenye tafsir tu hahaha Msome huyu Shehe mjinga anavyodanganya waislam yaani unaficha upumbavu wa Allah na Mudy? maana Quran mnadai anayeongea ni Allah unaweza jiuliza Allah nae anaona kama sisi tunavyoona tukiwa chini... wakati Jua lipo ni Dunia tu ndio inazunguka.

*Mpaka alipofika Dhulqarnain upande wa jua la kuchwa, alilikuta jua kwa vile alivyoliona kama kwamba linakuchwa ndani ya chemchemu ya maji moto yenye udongo mweusi, na akawakuta watu upande huo wa jua la kuchwa. Tulisema, «Ewe Dhulqarnain! Ima uwaadhibu kwa kuwaua au kwa linginelo, iwapo hawatakubali upweke wa Mwenyezi Mungu au uwatendee wema uwafundishe uongofu na uwaonyeshe usawa.»
— Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis

Fahamu kuwa
unadhani mimi kazi yangu ni kuhadaa watu au kusambaza uongo? nachoongea ni kweli and humu na help muslims waliondanganywa sana at least watoto wao au wajukuu wakija soma wajue wazazi wao walikuwa wanadangayika na upumbavu ulipitiliza.. Mohammad alipingwa hadi akaambua kuita Islam yaani Surrender or Die lazima uamini kilazima.( Aslam Taslam )na Wayahudi na Wakristo walilipa Kodi Jazyah ili waendelee kuamini Yahweh

Hahahahahahahaha Jua linazunguka? Allah kasoma vidudu wapi jamani eeenh JF Njooni mcheke Allah anasema Jua linazunguka hahahahahahahahahaha Islam is joke kwa hili hata Adiosamigo atakucheka wewe na Allah Pia hahahahahaha

Eti Jua linazunguka na lina Mwendo hahahaha upi ni ule kama wa yale mabus ya mwendo kasi hahahaha Allah is a joke for Us nakuomba uendelee kutuletea vichekesho vingine.. naomba pia kile kichekesho cha Mwezi hauwezi kuonekana mchana na Jua kuonekana usiku tucheke tena ukijibu hahahaha Surah Yasin 40.

EVERY CHAPTER AND VERSE IN QURAN IS A JOKES TO US

Mbona haya kuna uzi tuliujibu ?? au tuwekee tena uzi uzi utajibiwa kwa uwazi maana mnakuwa hamsomi
 
Tuwekee chain ya wapokezi wa hiyo hadithi , tafadhali
 
Acha propaganda uchwara. Ingewadharau mngebeba majina, kuamini dini yao na kwenda kuhiji kwa o na kuwatajirisha au unatuona sisi mazwazwa.
 
View: https://youtube.com/shorts/ybfA3MEsDYc?si=dU1L-5zwWItB61a7
 
Mbona haya kuna uzi tuliujibu ?? au tuwekee tena uzi uzi utajibiwa kwa uwazi maana mnakuwa hamsomi
Hujawahi jibu swali lnagu wewe.. weka link na useme unatoa wapi habari zako za uislam we don't lies kama nyinyi.. tuambie wewe ni shia au Sunni na Sunni wa sect gani kati ya hizo nne na matabaka yake.. maana ujinga na uongo wa hizo sec unatofautiana na kupingana
 
Hahahahahahahaha Jua linazunguka? Allah kasoma vidudu wapi jamani eeenh JF Njooni mcheke Allah anasema Jua linazunguka hahahahahahahahahaha Islam is joke kwa hili hata Adiosamigo atakucheka wewe na Allah Pia hahahahahaha

Eti Jua linazunguka na lina Mwendo hahahaha upi ni ule kama wa yale mabus ya mwendo kasi hahahaha Allah is a joke for Us nakuomba uendelee kutuletea vichekesho vingine.. naomba pia kile kichekesho cha Mwezi hauwezi kuonekana mchana na Jua kuonekana usiku tucheke tena ukijibu hahahaha Surah Yasin 40.
Umeona sasa unaanza kucheka ovyo kimwehu mwehu.Mwenyezi Mungu daima hamuachi mtu anayemtusi kwa jeuri tu.
Wenzako wenye hekima huwa wanajaribu kubishana kwa hoja na kusoma kutoka kwa wenzao na wanajiweka mbali na kufuru zilizopindukia.Wanajua katika historia hakuna aliyemtukana muumba wake akabaki salama bila kuwa mwehu hatua za mwanzo na huko mbeleni akifa ni moto tu.

Hiyo habari iliyokuonesha jinsi ulivyo mpumbavu na usiyejua miujiza ya Qur'an ni kwamba imeletwa kwa njia ya wahyi na kutamkishwa kwa yule ambaye hakuwahi kusoma na wala hakujua kuandika.Mbali na hivyo hakuwahi kusafiri kufika maeneo ya mbali alikokuwa akiishi dhul qarnain.Kwa kifupi Qur'an ingekuwa ni maneno ya asiyekuwa Allah basi usingepata habari za kisayansi kubwa kama hizo.

Aliyetamka hayo ndiye huyo huyo aliyetaja habari za sayansi kubwa juu ya mwendo wa jua na masafa baina ya nyota na upana wa mbinu wenye galaksi kwa mabilioni.

Kama huelewi ni kuwa sisi watu tulio ndani ya dunia tumo ndani ya galaksi inayoitwa milky way.Kwenye galaksi yetu hii kuna nyota zinazokadiriwa zaidi ya milioni 200 miongoni mwa nyota hizo ni nyota inayoitwa jua ( sun).Jua lenyewe linazungukwa na sayari kadhaa mojawapo ikiwa hiki kidunia chetu.Pamoja na hivyo Jua linazunguka kwa mwendo wake uliokadiriwa kuzunguka kiini cha galaksi ya millky way kama zilivyo nyota nyenzake idadi tuliyoitaja......upo hapo ?

Mbali ya kuwa taarifa hizo zimo ndani ya Qur'an kwa karne kadhaa walioanza kutambua nyendo za sayari na nyota na kuwepo kwa galaksi ni waislamu wenyewe walioongozwa na Qur'an kwa karne nyingi kabla hata Marekani haijajulikana iko upande gani.

Kama hujui taarifa hizo wewe mwehu waulize warusi watakueleza kwanini wao wamewatangulia sana wamarekani kwenye mambo ya anga za juu.Watakueleza kuwa wamesoma kutoka vituo vya kuchunguza anga vya waislamu vilivyokuwepo kwenye maeneo kama Azerbajan na huko Kazakhstan ambako ndio wanakorushia vyombo vyao vingi vya kuingia anga za mbali.
 
Hujawahi jibu swali lnagu wewe.. weka link na useme unatoa wapi habari zako za uislam we don't lies kama nyinyi.. tuambie wewe ni shia au Sunni na Sunni wa sect gani kati ya hizo nne na matabaka yake.. maana ujinga na uongo wa hizo sec unatofautiana na kupingana

Anza wewe kutuambia kanisa lako unaloona aibu kulisema na utuwekee hiyo biblia unayoitumia
 
Back
Top Bottom