Mlaleo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 16,376
- 13,196
Hizo ndio zenu kukamata muumini mtaani na kuanza kumbana na maswali ya kijinga, we don't play games out of christianity, just ask question regards na Christianity believes.
Huyu Mjinga Mansoor he always twists the words hana debate sasa anasema Jesus msalabani hakupata internal pain so hajaokoa hata mtu mmoja asiende Hell fire? ana akili huyu au Bangi? alafu mambo yenu ya debate mnakata kata maneno hiyo Game ni very Easy...
Hata Sisi tunasema kuwa Allah amesema Hakuna Mungu la 'iilah 'iilaa
Lets dance this kind of stupid Argument with fanatic Muslims - and show us in the Quran Jesus said am a Messiah
And show us where is Allah said this is list of five pillar of Islams and people should fallow to be a Muslim.
Honest debate hamuwezi hizo za kijinga jinga si mtakwama asubuhi na mapema tu kabla jua hamjaliona asubuhi Mtume wenu alisema msiswali kabla jua kupambazuka kwani Jua linachomoza kati kati ya mapembe ya Iblis and wakati huo huo akasema Jua linachomoza kwa amri ya Allah hahahaha stupid religion