Uwe unaweka na za uswazi, sitaki kuamini kwamba una kosa misemo hata kama ya kina Edward Molinge Sokoine, Mwl: Nyerere , Mkapa , Mawala , Lipumba , Beregu na watu wengine mashuhuri hapa kwetu..
"Tanzania ni Muungano wa visiwa vya Zanzibar na Zimbambwe" - Naibu waziri wa elimu, Philipo Mulugo.
Chukuchuku ilie na pweza