View attachment 1893365Kama unaakili timamu unakosaje Application za Jamii Forum, LinkedIn twitter na Quora japo twitter imekua ya kipuuzi tu siku hizi.
Ha haaa, mtandao wa kuongeza IQ za utamu, 😍❤💋💖💕💞 very very important, ndoa nyingi zinavunjika sbb watu wanajua sana kila kitu, heshima kibaoo tu, nidhamu kibao tu, sura na umbo bomba sana tu, usafi kwa sana tu, ila ukija SEX almost zero kabisa. Haa haaa, mtajua huko, changanyeni yote, Quora, XHamster, XVideos, JF, Insta, FB, Google + other high end educational webs.. Upate complete set.
Quora ni zaidi ya elimu asee, huwezi kosa kitu unachotafuta, utakutana na watu mbalimbali duniani waliowahi ku share maoni yao na ku comment, ni mtandao uliobase sana kataka kufahamu kupitia njia ya kuuliza maswali