JF ikiwa kama Quora itapoteza uhalisia wakeFuta kauli mkuu. Quora ni verified members huku ni hidden members.
Quora kuna maarifa kamili hasa computer science, wakati JF wajuzi wanajishaua kishenzi.Quora kuna madini mkuu.
Every question is answered deep and partialy.
Intelkectual wenye uzoefu manguli waliofanya kazi mpaka white house,google,facebook,NASA.Achana na huo mtandao mkuu, wamerekani tuwaache tu, wale ni watu wengine.
I have got acvount there and i enjoy more to be there.
Jf tuikuze iwe kama Quora itapendeza sana.
Ngoja nika scan menu yao, ntakuletea.nisaidie unafunguaje akaunti huko
Kwa nini mkuu?JF ikiwa kama Quora itapoteza uhalisia wake
asanteNgoja nika scan menu yao, ntakuletea.
Kuna app na website, hiws kuna ujumbe unaluomba uwe mber, ukiingia ndio unajaza form.
Mkuu mimi ni member wa Quora kwa muda sana. Lakini nilikuwa nikisoma tu maswali na comments za wadau wengine. Sijawahi kuuliza swali japo natamani sana. Maana watu wanajibu professionally. Nielekeze jinsi ya kutupia maswali hukoNaongelea mtandao wenye wafuasi wengi kote duniani.
Sasa naomba tujuane wajanja wote tulioko huko
Ni mtandao pendwa sana huu. unanifanya nifahamu mengi ya hapa duniani.
View attachment 1893200
Ipo playstore mkuuMbona siioni playstore?
Quora unauliza swali ,wabobezi wanakuja na nondo zao,hata swali ukiuliza ,muundo wa swali unarecommend wabobezi waliowahi kujibu maswali ya mlengo wakoTofauti ya Quora na JF ni lugha tu
Nimejaribu kuangalia naona icon zao sijsona. Sasa nenda google andika quora. Kisha fungua website yao, nadhani utaona sehemu ya kujiunga.asante
Ndiyo umegundua leo?Naongelea mtandao wenye wafuasi wengi kote duniani.
Sasa naomba tujuane wajanja wote tulioko huko
Ni mtandao pendwa sana huu. unanifanya nifahamu mengi ya hapa duniani.
View attachment 1893200
Una signup na google account..nisaidie unafunguaje akaunti huko
The best way to improve your english is to write texts and to speak the language. Hata kama ni mistari mitano andika.Kule wengine tupo kama obsever na hii english yetu ya the the