quiz:tafuta mtu anayelala kwenye hii picha

i pad3

JF-Expert Member
Mar 16, 2012
1,518
377
.
................mtaje 4. Livingstone Lusinde aka Kibajaji akihutubia Makiba.jpg
 
kwa nini asiwe anakunywa angalau kahawa duh kwa kulala kashindikana.....anasoma nini usiku?
 
genda yena toka gombe a.k.a usimgizi kipaji , naliona kwa nyuma kule limembonji
 
Ndo maana wamekosa ushindi kawatisha watoto sana. Usiombe akutembelee ukiwa hospital utajuwa izraili kakujia
 
Huyo ni yuleeeee face bomu wa enzi zileeeeeee a.k.a mchumia tumbo pale ikulu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom