Sawa MwalimuNi dili only if it's worth the risk i.e. the sidepiece is on the same level with your spouse if not better.
Other than that settling for less than what you currently have isn't worth the risk, in my opinion.
Hivi wanapofundishia English koz ni wapii nna hasira sanaa!???
Sawa Mwalimu
[video=youtube_share;8-WFNbMohTQ]http://youtu.be/8-WFNbMohTQ[/video]
Hivi wanapofundishia English koz ni wapii nna hasira sanaa!???
Ukiskia paaaaaa!! Hahahahaha.
It was good while it lasted.
I was so so happy. Maneeenah zake Msukuma huyo! Sijui hata maneeenah kwa Kisukuma unasemaje.
So whatchu tryna say? That you got yourself a 'whattaman'?
Nyanang'hwe . . .
they are great lovers for sure
ila tu usiwe na mkono wa birika...hasa kwenye suala la vyakula
:tape: Keep Guessing.
Hahahahahah,
Konnie wewe ni Msukuma?
mie nimeolewa na mjita...mapenzi miaka mia nane..yaan wanajua kupenda jamani...ila wakija ndugu,,wanakula hao jamaniii...pika chochote lakini ugali usiache...maana ugali ndio kila kitu kwao...but...mapenzi wanayajua...mwanaume mpk anakulilia machozi mwanamke...yaani raha iliyoje kumuona mwanaume analia..
Ndio maana nikakuita kaka,hapana chezea Sukumaland!!
Nafurahi kuona wanawake mmeligundua Hilo!
mie nimeolewa na
mjita...mapenzi miaka mia nane..yaan wanajua kupenda jamani...ila wakija
ndugu,,wanakula hao jamaniii...pika chochote lakini ugali
usiache...maana ugali ndio kila kitu kwao...but...mapenzi
wanayajua...mwanaume mpk anakulilia machozi mwanamke...yaani raha
iliyoje kumuona mwanaume analia..
mmmmh bc m nlokuwaga nae n tofauti au mtoto wa nje.....khaaa kaka kwanza yuko tft na wanaune naomba niishie hapo ila m nlokutana nae nooo he was the worst